Mwanamke alikuwa 36 yeye 24! Halafu mwanamke ni akina Uwoya huko Spain ingawa mzaliwa wa Tunisia! Kijana m MoroccoHio hutegemea na aina ya mtu alionae na hakim sio muoaji mwanamke anaenda vile mtu wake anahitaji so hakim nae alkua hayuko seriously kwan angekua anaoa asnge mruhusu hvo
Namaanisha mke ajiweka na kua kutokana na vile mme wake au mtu wake anapenda over do u copy?!