samilakadunda
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 1,780
- 354
hapana sitaki itoke ila naona kama anaogopa tu, kwani dr alisema within 3 manths mimba haitaki kurupushani, ila hakuweka wazi . BADILI TABIA
wataalam naomba ushauri wenu,mkewangu hataki kushiriki tendo la ndoa eti anaogopa kutoka kwa mimba, kwani nihivikaribuni alipata tatizo kama hilo ikalazimika kumpeleka hosptali ndipo ilipo malizika kabisa,ukweli tulisikitika sana,kwakuwa mungu hamtupi mjaa wake haijapita mwezi amekamata tena, sasa ananiambia hatakikusikia tendo la ndoa pia hanahamu kabisa,sasa mnajua kafika maisha tendo hili ni muhimu sana hasa kwa wanandoa, naomba kuuliza nikweli kufanya mapenzi japo mara 1 kwa wiki ni yatizo?? ukweli sijawahi kuwana mwanamke mwingine nje najiuliza nitaweza kuvumilia miezi 9 i kiwa leo ni mwezi wa kwanza tu ??? ushauri tafadhari.
badala ya kuwaza jinsi utakavyoishi waza jinsi utakavyomsapoti
Maumivu ya miscarriage na kusafishwa anayajua mkeo
Ni vyema mkasubiri hiyo miezi 3 ikapita
Then dr awape go ahead
Na umpekampani mfanye ajisikie safe
Mfanye awe willingly mwenyewe kujupa, na ukipewa sio ndo ukomeshee unatakiwa urnde slowly
mwombe akizaliwa ukapime DNA ...AMA MUULIZE MIMBA YA NANI NITARUDI KESHO KUKUSAIDIA USHAURI
\NASEMA HIVI KUMAANISHA SITAKI KUKUINGIZA KTIKA LIST YA WATU WANAOTUNZA WATOTO WAWENZAO
9+3=12 yaani mwaka
hapa nikishauri nitaonekana mbaya,ngoja kwanza nikanywe maji nitarudi baadae
Unaweza ukangoja kama kweli utakuwa na nia,na sio lazima mkutane kimwili ndo uridhike kuna njia nyingi za kufanya tendo hilo bila kukutanisha viungo vyenu na mkaridhishana bila wasiwasi (sisemi kwamba upige masturbation,hapana).
Romance na mambo mengine yanaweza kuwafanya mkatoshana bila hata kuingiliana..."Mawazo tu"
"Nlikuwepo":bolt:
Naam besti.
Mmh!!
Kwa ufupi sana, tendo la ndoa halisabibishi miscarriage
Usiape ukatenda zambi wakati jehaanam ikikusubiri. Tusidanganyane, hapa ndipo tulivyo tofauti kati ya mme na mke. Kwa Me kuna kitu kinatengenezwa na lazima kitoke iwe kwa kujichua au kwa kuota na asubuhi unachafua nguo za kulalia au .....utajaza. Sasa ndugu yangu sijui maana jamaa akichachamaa, akili inahama kichwani inarudi kwake. Haina uswalimina hiyo kitu la sivyo utajikuta kwa Changu. Jaribu kufanya sailensa ili angalau jamaa atulie kwani usipofanya kwa papala haina mbaya.asante kwa ushauri badili tabia, walahi simgusi hatakidogo.
Naam besti.
Mmh!!
Kwa ufupi sana, tendo la ndoa halisabibishi miscarriage