Napata tendo la ndoa kutoka kwa mke wangu kwa shida sana

Siasajr

Member
Jun 9, 2016
66
30
Mpaka nimeamuwa kuandika; nimeshidwa kuvumilia nataka majibu

Mke wa kwanza baada ya kumpa talaka mungu kanijaria nikaowa tena; baada ya mwaka tumepata mtoto,

Sasa matatizo ndio yameaza,napewa tendo la ndoa lakini wife kama jiwe, wakati mwingine mpaka namuomba kukatika, namshika anasema kachoka au anatoka kitandani kwenda kufanya kitu mpaka kurudi;yenge nazo zote zinapotea au ule mzuka unapotea

Siku nikipewa kirahisi basi, nahisi yeye kama namlazimisha kwa hiyo mara nyingi natoka kabla kumaliza.

Pia naona anajilazimisha, style moja tu kifo cha mende zengine imekuwa history kama nikimwambia panda juu ndio biashara tunamalizia anaaza ubishi mpaka unapote nyege

Nimeanza kujiuliza maswari mengi muda wote najiuliza why nimeaza kuwa mkari rafiki washaaza kuhisi kuna kitu sijawahi kumwambia mtu yoyote nachofanya nikumpenda zaidi na mazawadi kila siku weekend zote tunakula nje, sina kingine cha kumpa mwenzi uliopita tumeenda Zanzibar kutembea kwa wiki

Nikijaribu kuogerea hili tatizo anaaza kilio; wakati mwingine narudi home nimekunywa naogea mpaka ananijibu naogea sana

Asubuhi namka kukimbia narudi home bado kalala kwa hiyo natoka bila breakfast.

Naishi na mtoto wa sister lakini paka na panya na wife.

Wafanyakazi wanakaa siku mbili wanaaza matatizo story kibao; mwaka huu wamekuja kama kumi na siku ya kuondoka ukimsachi kabeba nguo na vitu vya ndani.

Nilikuwa nampa pesa kila mwezi, sasa nimemkatia kabisa mpaka account yake nimetoa pesa zote.

Haya matatizo yameaza baada ya kupata mtoto kabla tulikuwa tunaishi vizuri, sasa najikuta natumia muda mwingi kuwa naye pamoja na kumuoyesha mapenzi na kumjari

Napenda ushauri mzuri bado nampenda swala la talaka bado kufikiria
 
Back
Top Bottom