mke hataki kushiriki tende la ndoa, anaogopa kutoka kwa mimba

Pole sana kaka

Mimba iliyotoka ilikuwa na muda gani?

Huko nyuma ana histry ya kupata tatzo hilo au ndo mara ya kwanza?

1. Jaribuni kufwata ushauri wa daktar

2. Hamu ya kufanya tendo imetoka kwasababu ashajiwekea akilini akifanya itatoka tena ndo mana kaingiwa woga au kwa upande mwingine ni complications tu za mimba changa.

3. Madaktar wengi huwashauri kina mama wajawazto hasa waliopo first trimester kuepuka kazi ngumu mpaka mimba ijishikize vzuri kwani yaweza kusababisha mimba kuchoropoka na hiyo yote ni kutokana na lifestlye za watu ikiwepo mlo
 
Kama daktar hajakataza na kathibitisha ni salama kufanya hivyo,basi m'bembeleze atakupa tu ila umpeleke mdogo mdogo.
 
kwa kesi ya mke wa mdau nahisi kama ni tatizo la kisaikolojia zaidi ndo limemjengea hofu??

Naam nami naamini hivyo so far sijui ni maneno yapi haswa waliyoelezwa na daktari waliyeenda kumuona.

Muhimu ni kwa huyu bwana kuwa mvumilivu na kutomlazimisha mkewe kwa sasa kushiriki tendo la ndoa.

Msongo wowote wa mawazo kwa mama mjamzito au mshtuko au shurti yoyote si nzuri kwa wakati huu.
 
'Wanawake wengine' ndio aina gani ya wanawake?

Be specific maana si ajabu unarefer wanawake wenye asili ya frequent miscarriage...au wana matatizo ya shinikizo la damu n.k

Kama ni hivyo mbona wanawake wengine wanapewa bed rest na hawaruhusiwi kufanya tendo la ndoa?
 
'Wanawake wengine' ndio aina gani ya wanawake?

Be specific maana si ajabu unarefer wanawake wenye asili ya frequent miscarriage...au wana matatizo ya shinikizo la damu n.k


Jibu hilo hapo shemkwe
 
Msikilize Mkeo au hautaki mtoto? Fanya mazoezi sana jichoshe usiwaze ngono kama ukishindwa kuvumilia kwea bomba au paramia mnazi au lindima gitaa la arusi mabele.
 
kufuata ushauri wa dr ni vizur kuwa mpole naamin unaweza kuvumilia ila hutaki tu kuamua
 
Ni hivi tendo la ndoa mara chache sana linaweza kusababisha misscarriage kwenye trimester 1, lakini sio mara zote kuna watu na watu,, pili hormones zinachangia sana kwa mwanamke kupoteza appetite ya sex kwahiyo muelewe akikuambia kuwa hajisikii
Tatu jua ya kwamba sio siku zote atakua na ishu ya hormonal imbalance itafika mahala zitajibalance na hamu itarudi na sex mtaifanya na ku enjoy sana tuu
Hivyo basi kaka mvumilie mwenzako na kumpa support yote anayoihitaji
 
Back
Top Bottom