mke hataki kushiriki tende la ndoa, anaogopa kutoka kwa mimba

samilakadunda

JF-Expert Member
Oct 13, 2011
1,780
354
wataalam naomba ushauri wenu,mkewangu hataki kushiriki tendo la ndoa eti anaogopa kutoka kwa mimba, kwani nihivikaribuni alipata tatizo kama hilo ikalazimika kumpeleka hosptali ndipo ilipo malizika kabisa,ukweli tulisikitika sana,kwakuwa mungu hamtupi mjaa wake haijapita mwezi amekamata tena, sasa ananiambia hatakikusikia tendo la ndoa pia hanahamu kabisa,sasa mnajua kafika maisha tendo hili ni muhimu sana hasa kwa wanandoa, naomba kuuliza nikweli kufanya mapenzi japo mara 1 kwa wiki ni yatizo?? ukweli sijawahi kuwana mwanamke mwingine nje najiuliza nitaweza kuvumilia miezi 9 i kiwa leo ni mwezi wa kwanza tu ??? ushauri tafadhari.
 
hapana sitaki itoke ila naona kama anaogopa tu, kwani dr alisema within 3 manths mimba haitaki kurupushani, ila hakuweka wazi . BADILI TABIA
 
Last edited by a moderator:
badala ya kuwaza jinsi utakavyoishi waza jinsi utakavyomsapoti

Maumivu ya miscarriage na kusafishwa anayajua mkeo

Ni vyema mkasubiri hiyo miezi 3 ikapita

Then dr awape go ahead

Na umpekampani mfanye ajisikie safe
Mfanye awe willingly mwenyewe kujupa, na ukipewa sio ndo ukomeshee unatakiwa urnde slowly

Unaweza ukangoja kama kweli utakuwa na nia,na sio lazima mkutane kimwili ndo uridhike kuna njia nyingi za kufanya tendo hilo bila kukutanisha viungo vyenu na mkaridhishana bila wasiwasi (sisemi kwamba upige masturbation,hapana).
Romance na mambo mengine yanaweza kuwafanya mkatoshana bila hata kuingiliana..."Mawazo tu"

"Nlikuwepo":bolt:
 
wataalam naomba ushauri wenu,mkewangu hataki kushiriki tendo la ndoa eti anaogopa kutoka kwa mimba, kwani nihivikaribuni alipata tatizo kama hilo ikalazimika kumpeleka hosptali ndipo ilipo malizika kabisa,ukweli tulisikitika sana,kwakuwa mungu hamtupi mjaa wake haijapita mwezi amekamata tena, sasa ananiambia hatakikusikia tendo la ndoa pia hanahamu kabisa,sasa mnajua kafika maisha tendo hili ni muhimu sana hasa kwa wanandoa, naomba kuuliza nikweli kufanya mapenzi japo mara 1 kwa wiki ni yatizo?? ukweli sijawahi kuwana mwanamke mwingine nje najiuliza nitaweza kuvumilia miezi 9 i kiwa leo ni mwezi wa kwanza tu ??? ushauri tafadhari.

mwombe akizaliwa ukapime DNA ...AMA MUULIZE MIMBA YA NANI NITARUDI KESHO KUKUSAIDIA USHAURI
\NASEMA HIVI KUMAANISHA SITAKI KUKUINGIZA KTIKA LIST YA WATU WANAOTUNZA WATOTO WAWENZAO
 
badala ya kuwaza jinsi utakavyoishi waza jinsi utakavyomsapoti

Maumivu ya miscarriage na kusafishwa anayajua mkeo

Ni vyema mkasubiri hiyo miezi 3 ikapita

Then dr awape go ahead

Na umpekampani mfanye ajisikie safe
Mfanye awe willingly mwenyewe kujupa, na ukipewa sio ndo ukomeshee unatakiwa urnde slowly

asante kwa ushauri badili tabia, walahi simgusi hatakidogo.
 
mwombe akizaliwa ukapime DNA ...AMA MUULIZE MIMBA YA NANI NITARUDI KESHO KUKUSAIDIA USHAURI
\NASEMA HIVI KUMAANISHA SITAKI KUKUINGIZA KTIKA LIST YA WATU WANAOTUNZA WATOTO WAWENZAO

hakuna kitu kama hicho show napiga mwenyewe, ukimuona bby boy tofauti na mimi ni umri tu, halafu namwamini sana mkewangu kuliko hatanavo jiamini mkuu.
 
Unaweza ukangoja kama kweli utakuwa na nia,na sio lazima mkutane kimwili ndo uridhike kuna njia nyingi za kufanya tendo hilo bila kukutanisha viungo vyenu na mkaridhishana bila wasiwasi (sisemi kwamba upige masturbation,hapana).
Romance na mambo mengine yanaweza kuwafanya mkatoshana bila hata kuingiliana..."Mawazo tu"

"Nlikuwepo":bolt:

ni kweli hataki hatakukumbatiwa mkuu, na yeye anasema hata hasikii hamu yoyote.
 
madhara ya kuruka umri ndio hayo!!
Ina maana mpaka leo hujui kupiga Ny.to?? hujachelewa jifunze sasa
[Punyeto aka Puli]
1.Puli ni rahisi kuipiga
2.Puli haina gharama
3.Uhakika wa kujilinda na kumlinda mwenzi wako na maambukizi ya VVU ni asilimia 100%
4.Unaweza kujihudumia mwenyewe

KOMAA NAYO NDUGU UKIMWI UNATESA na TANZANIA BILA UKIMWI INAWEZEKANA
 
asante kwa ushauri badili tabia, walahi simgusi hatakidogo.
Usiape ukatenda zambi wakati jehaanam ikikusubiri. Tusidanganyane, hapa ndipo tulivyo tofauti kati ya mme na mke. Kwa Me kuna kitu kinatengenezwa na lazima kitoke iwe kwa kujichua au kwa kuota na asubuhi unachafua nguo za kulalia au .....utajaza. Sasa ndugu yangu sijui maana jamaa akichachamaa, akili inahama kichwani inarudi kwake. Haina uswalimina hiyo kitu la sivyo utajikuta kwa Changu. Jaribu kufanya sailensa ili angalau jamaa atulie kwani usipofanya kwa papala haina mbaya.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom