samilakadunda
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 1,780
- 354
wataalam naomba ushauri wenu,mkewangu hataki kushiriki tendo la ndoa eti anaogopa kutoka kwa mimba, kwani nihivikaribuni alipata tatizo kama hilo ikalazimika kumpeleka hosptali ndipo ilipo malizika kabisa,ukweli tulisikitika sana,kwakuwa mungu hamtupi mjaa wake haijapita mwezi amekamata tena, sasa ananiambia hatakikusikia tendo la ndoa pia hanahamu kabisa,sasa mnajua kafika maisha tendo hili ni muhimu sana hasa kwa wanandoa, naomba kuuliza nikweli kufanya mapenzi japo mara 1 kwa wiki ni yatizo?? ukweli sijawahi kuwana mwanamke mwingine nje najiuliza nitaweza kuvumilia miezi 9 i kiwa leo ni mwezi wa kwanza tu ??? ushauri tafadhari.