Aventus
JF-Expert Member
- Mar 8, 2013
- 2,011
- 2,165
Mume alikuwa anampiga mkewe! jirani akaja kuamua:-
Jirani: Mke hapigwi jirani!!
Mke: Mume wangu msikilize jirani anavyokwambia!
Mume: Ni mjeuri huyu nimfanyeje kama hapigwi?
Jirani: Dawa yake unaoa mke mwengine tu!
Mke: Nyooo Hasidi weee! NIPIGE MUME WANGU USIMSIKILIZE JIRANI..! NIPIGE NIKOME MAANA MIMI WAKATI mwingine SINA ADABU...!♀♀♀