Mke Hahitaji Condom. Piga Kavu Kama Hivi

KIOO

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
6,249
Reaction score
5,963
IMG-20180604-WA0005.jpg
 
Duh alafu wàtoto wote wa kiume.
India, jinsia ya kiume inazaliwa sana kulinganisha na nchi nyingine
Duh! Watakuja kukosa wa kuwaoa. Wengi wakigundua wanapata mtoto wa kike, hutoa mimba. Tatizo hili liliathiri sana China hadi wakaamua kuruhusu waweze kupata mtoto wa pili.
 
Ooh Owkay, nlikuwa sifahamu hilo suala aisee.

Ni Hatari Sana.
 
Duh! Watakuja kukosa wa kuwaoa. Wengi wakigundua wanapata mtoto wa kike, hutoa mimba. Tatizo hili liliathiri sana China hadi wakaamua kuruhusu waweze kupata mtoto wa pili.
Wakitafuta wachumba waje huku kwetu. Sisi tunawaacha tu wakina Semeni, Sikujua na Zawadi
 
Hapo kuna hadi watoto wa kizungu jamaa kachapiwa
 
Back
Top Bottom