data JF-Expert Member Joined Apr 9, 2011 Posts 26,943 Reaction score 23,883 May 1, 2018 #1 Wakuu mwenye picha ya Bibi mke wa King atuwekee hapa. Ahsanteni.
C crista galli Member Joined Oct 7, 2013 Posts 13 Reaction score 11 May 1, 2018 #2 data said: Wakuu mwenye picha ya Bibi mke wa King atuwekee hapa. Ahsanteni. Click to expand... Kumbe kamuoa bibi yako?sasa aliyeolewa no bibi yako mzaa baba yako au mama yako?
data said: Wakuu mwenye picha ya Bibi mke wa King atuwekee hapa. Ahsanteni. Click to expand... Kumbe kamuoa bibi yako?sasa aliyeolewa no bibi yako mzaa baba yako au mama yako?
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,374 Reaction score 38,248 May 1, 2018 #3 Mi ninayo hadikopi
data JF-Expert Member Joined Apr 9, 2011 Posts 26,943 Reaction score 23,883 May 1, 2018 Thread starter #4 crista galli said: Kumbe kamuoa bibi yako?sasa aliyeolewa no bibi yako mzaa baba yako au mama yako? Click to expand... Mzaa Baba na Mama... Haya weka picha ya Bibi yangu bas..
crista galli said: Kumbe kamuoa bibi yako?sasa aliyeolewa no bibi yako mzaa baba yako au mama yako? Click to expand... Mzaa Baba na Mama... Haya weka picha ya Bibi yangu bas..
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,350 May 1, 2018 #5 Kuna picha moja anamuangalia mtoto wa Ally kwenye reception watu wanasema ana jicho la kuficha chakula Mbongo mpe heading habari ataitengengeneza mwenyewe
Kuna picha moja anamuangalia mtoto wa Ally kwenye reception watu wanasema ana jicho la kuficha chakula Mbongo mpe heading habari ataitengengeneza mwenyewe
L Livejr JF-Expert Member Joined Feb 6, 2014 Posts 2,073 Reaction score 2,812 May 1, 2018 #6 data said: Wakuu mwenye picha ya Bibi mke wa King atuwekee hapa. Ahsanteni. Click to expand... Kuna Wakati mwingine unapata mashaka na baadhi ya wanaume hapa jamvini
data said: Wakuu mwenye picha ya Bibi mke wa King atuwekee hapa. Ahsanteni. Click to expand... Kuna Wakati mwingine unapata mashaka na baadhi ya wanaume hapa jamvini
Ushirombo JF-Expert Member Joined Jan 22, 2013 Posts 3,558 Reaction score 2,711 May 1, 2018 #7 Weka kwanza yako
Bry N JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 729 Reaction score 859 May 1, 2018 #8 Mwanaume mzima unataka picha ya mke wa mtu
B bestmale JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 3,067 Reaction score 1,808 May 1, 2018 #9 aliwahi kuwa demu wa omy dimpoji
bullar JF-Expert Member Joined Aug 16, 2014 Posts 10,344 Reaction score 23,430 May 1, 2018 #10 inakusaidia nn kumjadili mke wa mtu tena asubuh hii?
data JF-Expert Member Joined Apr 9, 2011 Posts 26,943 Reaction score 23,883 May 1, 2018 Thread starter #11 bullar said: inakusaidia nn kumjadili mke wa mtu tena asubuh hii? Click to expand... Mi nimeomba picha Mkuu..
bullar said: inakusaidia nn kumjadili mke wa mtu tena asubuh hii? Click to expand... Mi nimeomba picha Mkuu..
Hum B JF-Expert Member Joined Sep 17, 2014 Posts 1,065 Reaction score 1,540 May 1, 2018 #12 Sky Eclat said: Kuna picha moja anamuangalia mtoto wa Ally kwenye reception watu wanasema ana jicho la kuficha chakula Mbongo mpe heading habari ataitengengeneza mwenyewe Click to expand... Kweli mkuu lile jicho la kuficha chakula uvunguni
Sky Eclat said: Kuna picha moja anamuangalia mtoto wa Ally kwenye reception watu wanasema ana jicho la kuficha chakula Mbongo mpe heading habari ataitengengeneza mwenyewe Click to expand... Kweli mkuu lile jicho la kuficha chakula uvunguni
data JF-Expert Member Joined Apr 9, 2011 Posts 26,943 Reaction score 23,883 May 1, 2018 Thread starter #13 Hum boy said: Kweli mkuu lile jicho la kuficha chakula uvunguni Click to expand... Lakini wakutana maana wote roho mbaya..
Hum boy said: Kweli mkuu lile jicho la kuficha chakula uvunguni Click to expand... Lakini wakutana maana wote roho mbaya..
Joowzey JF-Expert Member Joined Nov 13, 2015 Posts 13,164 Reaction score 13,549 May 1, 2018 #14 Sky Eclat said: Kuna picha moja anamuangalia mtoto wa Ally kwenye reception watu wanasema ana jicho la kuficha chakula Mbongo mpe heading habari ataitengengeneza mwenyewe Click to expand... Hebu iweke hapa hiyo picha ila ni mzuri,nimemkubali.
Sky Eclat said: Kuna picha moja anamuangalia mtoto wa Ally kwenye reception watu wanasema ana jicho la kuficha chakula Mbongo mpe heading habari ataitengengeneza mwenyewe Click to expand... Hebu iweke hapa hiyo picha ila ni mzuri,nimemkubali.
MSAGA SUMU JF-Expert Member Joined May 25, 2015 Posts 6,693 Reaction score 21,765 May 1, 2018 #15 Sky Eclat said: Kuna picha moja anamuangalia mtoto wa Ally kwenye reception watu wanasema ana jicho la kuficha chakula Mbongo mpe heading habari ataitengengeneza mwenyewe Click to expand... Ahhha haaaah aiseeee
Sky Eclat said: Kuna picha moja anamuangalia mtoto wa Ally kwenye reception watu wanasema ana jicho la kuficha chakula Mbongo mpe heading habari ataitengengeneza mwenyewe Click to expand... Ahhha haaaah aiseeee
Leak Platinum Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,939 Reaction score 43,569 May 1, 2018 #16 data said: Wakuu mwenye picha ya Bibi mke wa King atuwekee hapa. Ahsanteni. Click to expand... "Wewe mtoto utapata tabu sana,utapata shida sana.....nitakupiga kipigo cha mbwa koko"
data said: Wakuu mwenye picha ya Bibi mke wa King atuwekee hapa. Ahsanteni. Click to expand... "Wewe mtoto utapata tabu sana,utapata shida sana.....nitakupiga kipigo cha mbwa koko"
Leak Platinum Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,939 Reaction score 43,569 May 1, 2018 #17 Sky Eclat said: Kuna picha moja anamuangalia mtoto wa Ally kwenye reception watu wanasema ana jicho la kuficha chakula Mbongo mpe heading habari ataitengengeneza mwenyewe Click to expand... "Wewe mtoto utapata tabu sana ,nita kupiga kipigo kipigo cha mbwa koko"
Sky Eclat said: Kuna picha moja anamuangalia mtoto wa Ally kwenye reception watu wanasema ana jicho la kuficha chakula Mbongo mpe heading habari ataitengengeneza mwenyewe Click to expand... "Wewe mtoto utapata tabu sana ,nita kupiga kipigo kipigo cha mbwa koko"
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,350 May 1, 2018 #18 Ruttashobolwa said: "Wewe mtoto utapata tabu sana ,nita kupiga kipigo kipigo cha mbwa koko"View attachment 762490 Click to expand... Si ajabu alikuwa anamuomba Mungu wake amjalie na yeye mtoto kama yule
Ruttashobolwa said: "Wewe mtoto utapata tabu sana ,nita kupiga kipigo kipigo cha mbwa koko"View attachment 762490 Click to expand... Si ajabu alikuwa anamuomba Mungu wake amjalie na yeye mtoto kama yule
maliyamtu JF-Expert Member Joined Nov 29, 2017 Posts 2,137 Reaction score 3,876 May 1, 2018 #19 Sky Eclat said: Kuna picha moja anamuangalia mtoto wa Ally kwenye reception watu wanasema ana jicho la kuficha chakula Mbongo mpe heading habari ataitengengeneza mwenyewe Click to expand... Hapana chezea mbongo kabisa
Sky Eclat said: Kuna picha moja anamuangalia mtoto wa Ally kwenye reception watu wanasema ana jicho la kuficha chakula Mbongo mpe heading habari ataitengengeneza mwenyewe Click to expand... Hapana chezea mbongo kabisa
mtafuta-maisha JF-Expert Member Joined Nov 5, 2016 Posts 1,982 Reaction score 2,934 May 1, 2018 #20 Insane