nina mke wa miaka mitano,na kujaliwa na watoto watatu. tatizo la mke, hajui budget ya nyumbani,akigundua unahela atahakakisha imetumika yote bila kujali kesho,ana tabia ya kuandika uongo kwenye maitaji ili apate cha juu. ukimkabidhi hela ya matumizi ya nyumbani atatumia nusu,na atasema hana hela. mbaya zaidi ukikorofishana kidogo ataongea kwa sauti zaidi ya masaa 2. kupata pepuchu kwake mpaka yeye ndo aanze.. ukiparimia utakuta ukavu ya hali ya juu na kuishia kua disappointed tu.. cha kifupi mwanamke anapenda sana umbeya,anaongea kwa sauti kama yeye ndo baba wa nyumbani, na anapenda sana kelele na ugomvi ugomvi na watu.. ninfanyeje.. nikimbia hm au nivumilie.. naomba ushauri pliz!!!!
Watoto watano kwa miaka 3? Umemzalisha speed sana na bila kumtunza atachakaa sana. Na gharama za watoto ni nyingi sana it seems hujui wewe na mkeo zinamkuna kichwa hadi anakuwa na kiburi. Jaribu kuspend siku3 hapo nyumbani ujishuhulishe sana na huko jikoni utaelewa mkeo ni nini anachofanya na utamuheshimu.
Umekosea ni miaka mitano ya ndoa na watoto ni watatu!
unatafta nn muda wote huu
Umekosea ni miaka mitano ya ndoa na watoto ni watatu!
Nimeachika natafuta 'chungu'kingine.....
Nimekosea ila ndicho nilichodhamiria kuandika
Nimeachika natafuta 'chungu'kingine.....
Chungu kingine ni scraper zaidi.. Wanasema kile cha kwanza ndo sahihi
Naona ume-edit....haya bana
Not the other way round??? Cha kwanza ndio scraper hivyo vinavyofuata ndio vyenyewe sasa....
Tumsaidie tu mapema maana anatakiwa kutoa special order kwa mfinyanzi la sivyo..