Mke atakiwa

KIJANI

Senior Member
Dec 13, 2010
138
26
Ndg wana dada wa JF, nahitaji mdada mwadilifu na mzuri kuwa mke wangu... Umri 20-25yrs
 
Yatakushinda na assumption zako za kizee,kila la kheri mkaka.........watajitokeza usijali.

Mmm sasa kwa nini watuita mijimama?? Si useme tu ni wamama au wadada tu jamani.
 
Yatakushinda na assumption zako za kizee,kila la kheri mkaka.........watajitokeza usijali.

muongo huyo dada. miye mbona niko kwenye hiyo range? nakumbuka huyo kakakiiza alikuwa naye anataka mchumba, nadhani alipokosa hapa ndio hasira zikapanda na kuishia hiyo conclusion. nadhani ni wa kufarijiwa zaidi. pole kaka, muombe Mungu atakupa wako, yeye hawekewi deadline. endelea kumtumaini tu siku moja tena usiyotarajia atakukutanisha na your long awaited lifelong partner
 
Nakutaka wewe kumbe ulishajua tatizo langu sasaiweje uwezi nisaidia???

Kaka kiiza Wadada wa JF tunakupenda. Pole na majukumu ya maisha, hongera kwa uzima ulionao. Kama una tatizo linakusumbua usihofu sana kwani Mungu ni mwema atakusaidia. Tunakupenda upendo wa Agape.
 
Kaka kiiza Wadada wa JF tunakupenda. Pole na majukumu ya maisha, hongera kwa uzima ulionao. Kama una tatizo linakusumbua usihofu sana kwani Mungu ni mwema atakusaidia. Tunakupenda upendo wa Agape.
Namimi nawapenda pia ila mkipewa apointment mnajidai mpo mbauda!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom