Asante kwa kiss la kijimama ha ha...lol!
Inaonyesha hujui kutongoza wewe.
muongo huyo dada. miye mbona niko kwenye hiyo range? nakumbuka huyo kakakiiza alikuwa naye anataka mchumba, nadhani alipokosa hapa ndio hasira zikapanda na kuishia hiyo conclusion. nadhani ni wa kufarijiwa zaidi. pole kaka, muombe Mungu atakupa wako, yeye hawekewi deadline. endelea kumtumaini tu siku moja tena usiyotarajia atakukutanisha na your long awaited lifelong partner
Kama uko kenye Range Mpe PM basi
mwanamke anyejiheshimu kiumbe adimu ndugu yangu. hutafutwa, yeye hatafuti, watu huja kwa maelfu ila yeye ndiye hufanya uchaguzi wa mwisho na kauli yake ndiyo hukamlisha ndoa. i am proud to be a woman, haha