Mke apatikana....

Mke apatikana....

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,854
Reaction score
1,146
Baada ya kuona mumewe amekawia kurudi nyumbani bibi alipatwa na hasira akaamua kumpigia simu kwa hasira ''....
Uko wapi mpaka sasa hivi kinyago cha mwanaume wewe?"......mume akapokea kwa sauti ya kumbembeleza ....."dear unakumbuka duka linalouzwa vitu vya dhahabu ambalo siku ile uliona pete ukaipenda ile sikuwa na hela nikakwambia kuna siku darling nitakununulia?...Mke akajibu kwa furaha, kicheko huku akijilegeza .."Ehe ehe ehe nimekumbuka dear si pale kwa duka la yule Mwarabu? Mume akajibu "Yaah ndo penyewe ....sasa ukiwa hapo dukani kuna bar moja pembeni napata moja mbili baridi na rafiki zangu. Jijazie mazungumzo yalikuwaje baada ya hapo!!!
 
hahahahahahah,hii Wareno wansema VOCE NA SABE OQUE E AMOR.Nalog off
 
yani hapo majibu"nyooo mshenzi mkubwa wee,huna haya mja wa laana,yani kumbe umekalisha hizo spoku zako hapo bar,nyambafff!!!!!!!halafu simu inakatwa..............
 
yani hapo majibu"nyooo mshenzi mkubwa wee,huna haya mja wa laana,yani kumbe umekalisha hizo spoku zako hapo bar,nyambafff!!!!!!!halafu simu inakatwa..............

Halafu mmewe nambipu apigiwe tena akiwa bar
 
yani hapo majibu"nyooo mshenzi mkubwa wee,huna haya mja wa laana,yani kumbe umekalisha hizo spoku zako hapo bar,nyambafff!!!!!!!halafu simu inakatwa..............

aah aah aah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom