malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 2,780
- 2,716
Mkuu wala hatupeleki kwa wazazi niwazazi tu wanapokua wanamtembelea mkwe wao Sasa tkt maongezi niushaur tu anapewa Kama ambovo ww wazazi wako wakutembelee kwako kwa dk kadhaa Kisha muongee tu mambo yakimaisha wakunasihi Kama mtoto waoNdoa yenu itakufa msipo kuwa makini, Mambo yenu kwanini mupeleke kwa wazazi, Tena wewe mwanaume ndio hujielewi kabisa
Mkuu wala hatujazoeshana nikatabia flani ambako kapo kwa wife najaribu namna yakukazuiaMadhara ya kulea na kuendekeza umbea..mambo yaki-backfire upande wako kila mtu utamuona snitch. Mmezoeshana hiyo tabia sasa tulia unyolewe ndio zamu yako.
Mkuu hatujapeleka matatizo kwa wazazi Ila matatizo ya mkwe wao yanawafikia kupitia ndgu za mke wangu hasa mama yake anakua kaambiwa namwanae Kisha mama kuwaambia ndgu hao ambao wao ukiangalia kiundani Zaid nikweli wife anakua kayatamka haswa maana hakuna mtu tofaut nayeyeMke wako anatakiwa kurekebishwa na wewe mwenyewe na sio wazazi. Na msipende kupeleka peleka matatizo yenu kwa wazazi muyamalize wenyewe
Mkuu haiendeshwi nawazazi mkuu hivi Jambo umejadili namkeo Kisha Jambo Hilo Hilo unalikuta likijadiliwa na ndgu zake mpaka unaaambiwa ww ambae ukiangalia Jambo Hilo Hilo umejadili ww tunamkeo Kisha baada yawiki unaliskia kwa ndgu wa ndani mke Jambo ambalo mlijadili wawiliUnaonekana unasikiliza Kila unachoambiwa na mama yako,si umuoe mama yako,huyo mama ako anamuonya mke wako Kwan wewe umekufa???? Sipendi ndoa ya kuendeshwa na wazazi basi tuuuuuu
Kwanin mkuuUna itaji viboko vi tatu vikaliii .pia mkeo ana itaji viboko vinne vikaliii
Mkuu nimekomaa maelekezo na nasaha za kidini zawazazi kimaisha kwa vijana wao Kuna ubayaUmeoa ukiwa bado hujakomaa kiakili
Mkuu nifamilia ambazo mko kitongoji kimoja mke aweza pita tu kwao kusalia kwa mda akiwa anaenda hata sokoni pia aweza pita hata kwa ndgu yake kusalimia kwa mda akiwa anaenda msibani au ktkt harus yaan mnakaa kitongoji kimojaNdugu wa mkeo atoke huko
Aje kukueleza maneno ambayo mkeo kamwambia mama yake
Kuna walakini mahala
Mnaanzia wapi??????
Halafu maswala yenu wewe na mkeo wazazi wako wameyajuaje???
Mkuu hakuna anaepeleka matatizo kwa wazazi Ila nimtu mnaokaa kata moja amabayo familia zenu ziko ktk kata hiyo Kias kwamba ww mke kwenda kupita kwenu kusalimu ukiwa unaenda kwenye mambo yako nidk kadhaa tu kwa mguu imefika hapo kwenu ukasalimu kidgo ukazungumza namengne namzazi wako Kisha ukaendelea nasafar zako Sasa Yale uliozungumza namzazi wako yanamfikia mume ambayo kiundani nikweli hakuna anaeweza yazungumza tofaut nahuyo mkeo ndie anaeyajua tu Sasa unapata picha kuwa kamuhadithia mama yake Kisha mama yake kahadithia ndgu zakeMke wako anatakiwa kurekebishwa na wewe mwenyewe na sio wazazi. Na msipende kupeleka peleka matatizo yenu kwa wazazi muyamalize wenyewe