Wana uwezo kawaida kwani bwana ni mfanyakazi selikarini na mama anasimamia miradi yao! watoto wote wanasoma st. mary's
Kwanza ninaweza sema huyo jamaa nanafanya kazi gan? Na je wanaumri gan? Alafu mbona hawa watoto watatu ni weng sana kulingana na hal ya maisha ya sasa hv alafu ukiangalia watoto bado wadogo. Na bado wanasoma tena std na kindagaten mbona mwambie akiongeza watoto mwambie hato weza kuwalea kutokana na maisha ya sasa cnamaana atashndwa la hasha ila cjajua kipato cha kwake na mkewe. Alafu vp huyo mkewe ni kabila gan? Na kasoma kwel? Sawa je anafanya kaz gan? Kama hal ya maisha ni nzuri kwao waendelee kuzaa hata watoto 30Ana watoto wa tatu mmoja std 3 wapili std1 watatu kindergarten.
ndugu umeleta sredi nzuri kwani hata mimi ninasuguana na mchumba wangu kwa hili.Ana watoto wa tatu mmoja std 3 wapili std1 watatu kindergarten. Anataka watoto zaidi kwani anadai haoni sababu ya kuwa na watoto wachache. Jamaa anasema mwanzoni alidhani ni utani lakini sasa hivi hii topic imekuwa too much. Kaniomba msaada ili ndoa yao iendelee kuwa na amani, kwani ana mpenda sana mke wake. Mimi nilipongea naye kiundani sana, lakini Nimeileta huku ili mnipe mawazo yenu.
Ahsante Murefu Hapo kwenye bluu, Ni 'masanja', amesoma, accountant also managing family businessKwanza ninaweza sema huyo jamaa nanafanya kazi gan? Na je wanaumri gan? Alafu mbona hawa watoto watatu ni weng sana kulingana na hal ya maisha ya sasa hv alafu ukiangalia watoto bado wadogo. Na bado wanasoma tena std na kindagaten mbona mwambie akiongeza watoto mwambie hato weza kuwalea kutokana na maisha ya sasa cnamaana atashndwa la hasha ila cjajua kipato cha kwake na mkewe. Alafu vp huyo mkewe ni kabila gan? Na kasoma kwel? Sawa je anafanya kaz gan? Kama hal ya maisha ni nzuri kwao waendelee kuzaa hata watoto 30
ndugu umeleta sredi nzuri kwani hata mimi ninasuguana na mchumba wangu kwa hili.
Mimi nataman mungu atupe watoto wanne au watano,jamaa anasema anataka wawili tu baada ya kumvuta sana akakubali watutu na siyo zaidi.Balaa ni pale mume anapotaka idadi kubwa kuliko mkewe.
Hapo amri ubabe/amri hutumika
mmmhhh si kila asemalo mke ukubaliane hata kama unampenda sana....maisha yana surprises zake,mmoja aweza shindwa kwa sababu tofauti kuendelea ku-manage familia au wakati mwingine wote wawili....nafikiri kwa hali ilivyo sasa,watoto watatu wanaweza!