rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 22,170
- 43,975
Jamani Jf imekuwa sehemu ya kujifunza mambo mengi sana lakini pia ukikaa vibaya unaweza toka na mawazo ya Ajabu sana na ukawa na imani za Ovyoo tu hasa Kuhusu wanawake zetu na mambo ya mapenzi.. Leo kuna uzi jamaa anaomba ushauri kuhusu mke wake aliemsomesha kumtenda lakini watu wanamshambulia sana kwa kitendo cha kumsomesha na kumlaumu lakini huyu bwana me sijaona kosa lake kama Yeye alizaaa na huyo mwanamke na Baada ya kumsomesha kama mke ambae wamezaa watoto wawili kabisa hakika Huyu Jamaa hana kosa kabisa lakini Mwenye akili mbovu na za Ovyoo ni Huyu mwanamke aisee yani kawakimbia na wanae wawili Hakika imeniumiza sana...!
Ukweli ni kuwa Mchumba hasomeshwi lakini Mke anaweza someshwa kwa mazingira haya.
1. Kwanza kama ukimsomesha mke wako akipata kazi atakuzidi kipato maana ya Mshahara kwa mbali bhasi USIMSOMESHE.
2. Kama ukimsomesha mkeo atakuwa anaenda mbali kimasomo i mean anaenda mkoa mwingine na sio ile ya kwenda chuo na kurudi nyumbani bhasi USIMSOMESHE.
3.Kama ukimsomesha mkeo bhasi atakuzidi Elimu hakika USIMSOMESHE.
Tuishi nao kwa akili sana maana Hatujui siku ile pale Bustani ya Eden shetani aliongea nini na Mwanamke..![emoji24][emoji24][emoji24][emoji2089]