EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,712
Mmwache atanyooshwa mda si mrefu.
kuna jamaa wawili mlisoma nao chuo walikubwa na visa vya kusomesha wake zao vyuo wakaiambulia manyoya. kama mke ni mtumishi somesha ila kama ni fresh from school USIJARIBU!!!!