Mke anashindana kila kitu na mimi!

Mna mapenzi ya kitoto, hata hao watoto hawako hivyo, c bora msingeoana tu ukawa unamgegeda, akizingua unakwenda kwingine, naona kama unajitekenya kisha unacheka mwenyewe[emoji87][emoji87][emoji85]
 
Ndoa/ kuoa sio kuingiza dude lako kunako nyetini kwa mwanamke wako tu, ni pamoja na kutumia akili kuishi maisha ya ndoa
 
we na mkeo bado hamjakuwa kabisa, yani kama mpo kwenye scene ya vituko show, eti mkeo nae kamsimamisha mtu kaanza kuongea nae na kumshika mkono, get serious hayo si mambo ya kitoto kabisa mkuu
 
We id yako nyingine ni ipi??

Naona hii ndo yakuletea chai na vitumbua
 
achana naye bwana nenda kaishi kwa mchepuko wako akipiga hapo simu aambiwe unakuja home kubadili nguo tu nakuondoka atarudi faster na heshima juu
 
Ngoja na yeye akaombe ushauri fb ili tuthibitishe Kama kweli anakulipizia.

Sent from mTalk
 


Ukimpa mchepuko wako ujauzito halafu mkeo akafahamu nitaomba umpe mkeo namba yangu ya simu, nakutumia PM.
 
Wewe huna ndoa hapo,kama mwenzio kasafiri wiki 2 tu tayari umehamia kwa mchepuko hii ni hatari sana kijana,hapo heshima ya ndoa haipo,pia dishi lako halishki mtandao sawa2
 
Hizi ndoa zinazofungishwa as long as watu wako above 18, inabidi zisitishwe na waangali je watu wana ukomavu wa akili maana kwa thread hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…