Mke anashindana kila kitu na mimi!

Mke anashindana kila kitu na mimi!

flintsky

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Posts
654
Reaction score
747
Wadau, Mu hali gani?

Kumekuwapo na sintofahamu kati yangu na my wife wangu.
najaribu kutaka kumuelewa lakini nabaki njiapanda kama ilivyo kawaida yao ni ngumu sana kumuelewa mwanamke na itabaki hivyo hadi baragumu lipulizwe!

Ni muda sasa kila jambo nikifanya hata dogo kiasi gani analipiza yaani jinsi anavyonifanyia kama vile mimi mke mwenzake!nikiweka profile whatssup ya picha yangu nimeweka pozi na yeye anaweka kaweka pozi tena pozi matata!

Kuna siku kanikuta na kidemu nakisaundisha hapo kitaa cha ajabu akauchuna nikajua hiyo imepita hivi khaaa haijapita muda kaniona narudi eti na yeye akamsimamisha mpita njia eti anaongea nae huku kamshika mkono!nikapita kama sijaona na nikapotezea!

Yote tisa kumi kilichonifanya hadi kuja kuandika huu uzi hapa ni hili baada ya kurudi kutoka safari majirani wakamtonya kwamba toka asafiri kwa muda wa wiki mbili zote mimi sijalala nyumbani!

Ni kweli nilihamia kwa mchepuko katika hicho kipindi cha mpito!lakini nikamkatalia kwamba siku zote mimi nililala homu nikamuonyesha na mafuta ya mgando yalikuwa mapya ila yamebaki nusu kwa kupigia puchu maana akisafiri anajua mimi nakuwa napiga puli!

Ila bado hanielewi na ameondoka tena homu simu yake haipatikani kwa ndugu wote nimezunguka hayupo hadi nimechoka kumtafuta polisi wameniambia nisubiri siku 4 badala ya saa 24 yaani hapa nimedata mchepuko unataka nikatulie tu kwake ila sijiskii kabisa naombeni ushauri jamani maana kama kisasi iko siku tutauana sasa!
 
Wewe na mke wako wote hamuheshimu ndoa yenu. Mnachukuliana kirahisi.

Sasa ili heshima irudi.. wewe acha madudu unayofanya.. maana anachofanya mwenzako ni kulipiza kisasi.
Anza kujerekibisha wewe.. na pia muite mkeo myaongee .. ikiwezekana hata na wanandugu uwashirikishe.
Mkiendelea na huu mchezo kwakweli ndoa yenu itavunjika muda si mrefu.
 
Ww ulieyeandika huu uzi si bure utakua na matatizo ya akili wahi hospital fasta uanze tiba
da lu kiukweli nna akili timamu hata tukiwa wa4 me takuwa jiniaz tu
 
Back
Top Bottom