Mke anaitajika haraka sana

hahahaha mvulana anataka kuoa!. hii ni hataari
 
Yani hilo tangazo mie hoi...kweni mashine au gari
 


Kuhusu hiyo heading yako mke hatafutwi kwa haraka sana kiasi hicho. Anyway kama wewe ni mkurya sikulaumu maana hiyo ni lugha ya kawaida kwenu "mke anaitajika haraka sana"
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…