Mke anagawa ovyo...jamaa kaamua

Mke anagawa ovyo...jamaa kaamua

wakyagara wakinyora

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2013
Posts
735
Reaction score
286
wadau hop mko poa,

naomba nielimishwe jamani kama kuna maisha ya aina hii au ni kiini macho ndo naona.kuna jamaa yangu ambaye ni swahiba wangu tangu kitambo sana ameoa na ana watoto 3.kinachonishangaza ni tabia ya mke wake,yaani amekuwa akigawa uroda hovyo,si kwa watoto anaowazidi umri wala kwa wakubwa.yaani kwa ufupi naweza kusema nanii yake iko mkononi,ukiipiga tu inaanguka unaondoka nayo.kitu kinachoniacha hoi ni huyu swahiba wangu,yaani japokuwa anajua fika kuwa mke wake anafanya uchafu huo yeye kapiga kimya.yaani haongei hata kidogo,yupo kama vile hamna kinachoendelea.

kuna wakati alisafiri nje ya nchi kwa wiki mbili akaniachia familia yake niiangalie,so nikawa naenda kuicheki,kuna siku niko siting room namsubir shemeji yangu huyo atoke tusalimiane mara kinatoka kidume kimoja hivi kimejifunga kanga yake,nikamsalimia kama kawaida kisha shemeji yangu akaja tukasalimiana nikasepa.siku nyingine niko sehem napata soda,shem wangu huyo kanipita tena na kijamaa kimoja hivi,tena bila aibu akanisalimia halafu haooo wakazama kwa chumba.

yaani mwanamke anafanya kama vile sio mke wa mtu eti.jamaa aliporudi nilimueleza ukweli kuhusu wyf wake but mshikaji kabaki kucheka cheka na maisha yakaendelea kama kawaida.kwa sasa hali ni mbaya mno lakini jamaa kama vile kipofu flani hivi.kuna kipindi nilifikia hatua ya kumuuliza kama amepoteza nguvu zake ili nimshauri akaonane na wataalam wamsaidie but jamaa anasema yuko poa.sasa kwanini asimkemee mkewe?hana jibu.

imefikia hatua hata vichalii vinavyojifunza kuduu hapa mtaani vinamzoa kiholela holela tu,yaani hata watoto wake hasa aliye std 7 mwaka huu hana raha kabisa,yaani mtoto mdogo but anafeel aibu kwa anayoyafanya mama yake.nashindwa kujua tatizo liko wapi ili niweze kumsaidia swahiba wangu coz cjui tatizo ni yeye au ni mke?

NINA FEEL VIBAYA NA NINGEPENDA KUONA AIBU HII INAONDOKA KWA RAFIKI YANGU LAKINI CJUI NIANZIE WAPI.
 
Duunh labda dada ni double action na jamaa ni single action sasa hapo incompatibility mode ndo issue!!!!
 
Kama anafahamu kinachoendelea halafu hana noma na wewe kula, bora ufaidi wewe best kuliko hao wajamaa wa mtaani, kula huyo shemu mwanangu.Ningekuwa mimi ningemla.
 
Kama anafahamu kinachoendelea halafu hana noma na wewe kula, bora ufaidi wewe best kuliko hao wajamaa wa mtaani, kula huyo shemu mwanangu.Ningekuwa mimi ningemla.

hapana mkuu,siwezi kumla shemeji yangu ila inaniuma sana,maana hata hadhi ya ndoa haipo tena,nashindwa hata kuelewa,hata kama ni limbwata ndo ifikie hatua hiyo?
 
Kuna mambo haya

1. Inawezekana mkewe analipiza kisasi kwa sababu alishamfumania na mtu nje

2. Haridhiki na mtu mmoja

3. Ni umalaya ambao aliuficha kabla hajaolewa ila alipoolewa ukafumuka

Hebu Jaribu kumuuliza vizur jamaa kama alishafanya hilo la kwanza
 
hapana mkuu,siwezi kumla shemeji yangu ila inaniuma sana,maana hata hadhi ya ndoa haipo tena,nashindwa hata kuelewa,hata kama ni limbwata ndo ifikie hatua hiyo?

Jamaa yako akueleze ukweli juu ya cock wake atakuwa na shida!!!!

Mstiri jamaa yako badala ya kumuachia aibu hiyo..
 
Kama mzee hafanyi kazi aongee nini? Acha asaidiwe

ladylady,mshikaji kanizidi umri kama miaka 12 hivi but kuna kipindi cha ujana tulikuwa wote,tulikuwa tukipiga misele,tunaopoa kama kawaida,ilikuwa inafika kipindi tunapokezana hata chumba...ataanza yeye na dem wake then nitaingia mimi na wangu,wakati mwingine naanza mimi afu yeye atafuata baadae,siwezi kusema kwa asilimia 100 kwamba namjua vizur but nivigumu kuamini kuwa mzee hafanyi kazi,.ina maana wakati huo alikuwa akifanyaje?
 
Kuna mambo haya

1. Inawezekana mkewe analipiza kisasi kwa sababu alishamfumania na mtu nje

2. Haridhiki na mtu mmoja

3. Ni umalaya ambao aliuficha kabla hajaolewa ila alipoolewa ukafumuka

Hebu Jaribu kumuuliza vizur jamaa kama alishafanya hilo la kwanza

Kwa hiyo mkuu ingekuwa ni wewe hilo la kwanza ingetosha kukubaliana na yote???!!!
 
Sijaona mahali umesema uliwahi ongea na huyo bibie kumuuliza kulikoni, kama kweli unampenda rafiki yako na familia yake, jaribu kuongea na huyo mama upate na upande wa pili. pia shirikisha ndugu wa huyo rafiki yako, napo huenda itasaidia.
 
hapana mkuu,siwezi kumla shemeji yangu ila inaniuma sana,maana hata hadhi ya ndoa haipo tena,nashindwa hata kuelewa,hata kama ni limbwata ndo ifikie hatua hiyo?
Kwani wewe matatizo ya ndoa yako yalishakwisha? Mbona ndoa ya mwenzako inakuuma wakati na wewe yako ni matatizo?
 
Back
Top Bottom