Kichwa Ndio Mtu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 3,079
- 1,719
yani mm mwenyewe napiga mahesabu hayaingii akili, na ukizingatia 2014 ndo kwanza imeanza sasa sijui hao watoto wamepishanaje loh
kwa uelewa wangu jamaani msaliti na anamdharau sana huyu mwanamke na ana promise nyingi ambazo hajazitimiza.pia kuishi na mtoto wawatu miaka nenda rudi amemzalisha watoto 2 bila ndoa alafu nyodo juu ndi kisa cha huyu mwanamke kuona bora ajiondokee!!!
mi nakwambia huyo mwanamke anakimbia hzo mimba mfululizo,kila mwaka anazaa,hapati mda wa kupumzika,kale katoto ka kwanza hakajanyonya vya kutosha,kamekuja kengne,hata sasa nadhan ana mimba tena,hvyo vtoto utapiamlo utaviua.
Aisee! Mimba ya kwanza 2012,,2014 mna watoto 2,hakika lazma atake muachane,utamuua na mimba za mfululizo.
hana ndoa na huyo dada!wapi aliposema wanaishi kihalali kama mke na mme amezaa naye tu.so jamaa anajiona bado bachelor free molecule he ca do what ever .mimi nawajua vizuri wanaume wa aina ya huyu tabia na maneno yao .i know them very well
Nakuelewa lakini jiulize nafsi yako jee utakubali kuchukua machungu kwa sababu ya watoto? wewe ndio mtafutaji nadhani
yani uhangaike kutafuta pesa na ukirudi nyumbani unategemea pawe tulivu ndio nako kuna moto na excuse unasema watoto,watoto wananini? au huo ugomvi wa kila siku hao watoto hawaoni? samahani kama ntakua nimesema sana..
ila nakuonea huruma....
Mtoto wangu wakwanza ni wa 2011 na wapili ni 2014
unajaribu kukwepa jambo ambalo liko waz,umesema mwenyewe kua ulianza kuishi nae mwaka 2012 baada ya kumpa mimba ,sasa unasema mtoto wako wa kwanza 2011,ok,2011 mtoto wa kwanza,2012 mimba,sio?
Elewa sentensi nzima anasema wameanza kuishi 2012.sio walizaa mtoto wa kwanza 2012
Hahahaaaa.. Karibu. Bado sijaoa aisee. ila nikioa na Mungu akanipa uzao, hii habari ya kuacha gap la miaka kumi na tano siiwezi
nikwepe ili iweje? August 2011 I got my 1st born please! bt we didn't live together until 2012
Tumebahatika kujenga ndugu, kama Kuna mabadiliko ni sababu ya hivi viuogomvi tu.
badili tabia !michepuko haina dili baki njia kuuwe got married in Dar, 2012. I am her husband please
unatakiwa ukioa uache gap la kutosha bwana
mtoto umpe nafasi ya kutosha kukua kiakili na kimwili kabla ya kumpatia mdogo wake
ungekua mahakaman ungefungwa kwa kujikanganya,mi naomba unijibu frm your first(original)statements uliopost,mwaka 2012 uliish nae kwa baada ya kumfanyaje?
maisha ya ndoa ni kuvumiliana mkuu, tatizo bora kukosea kujenga nyumba kuliko kukosea mwanamke wa kuoa!