Mke anadai tuachane mara kwa mara

Unaona eeh!!
Bora mimi sijasema. Usikute na wewe huwa unatishia tishia uniambie mapemaaaaa!!!
Ili nisitishe mpango wangu kwako.

Wanawake sometimes utadhani wanawaza kwa kutumia makalio
sijui a nadhani akitoka hapo atarudi kwao, mtu mwenyewe hapo utakuta hadi hela ya kiberiti anaomba
if I were a man if I were a man......!!!!!!
basi tu ndo maana sijawa
 
tumefunga ndoa 2012

Kama nyie ni Wakristo mkumbushe mkeo kwamba ndoa yenu HAUVUNJIKI HADI KIFO KIWATENGANISHE ila kama ni Waislamu basi lipe uzito suala lake, mpe talaka yake.
 
Cha muhimu kama unaishi nyumba ya kupanga amia sehemu nyingine Labda ataridhika! Pia labda yale mapenzi yenu ya zamani hayaoni tena kwa iyo anaboreka.
 
hahahahahaha Tized umeniacha hoi wewe unao wangapi wa chapchap
 
Last edited by a moderator:

I loved her from day 1. I wanted to marry her mimba ikawa kichocheo tu. alinisumbua sana wakati namtongoza ndo mana sjui ka yeye alinipenda pia
 
Aisee! Mimba ya kwanza 2012,,2014 mna watoto 2,hakika lazma atake muachane,utamuua na mimba za mfululizo.
yani mm mwenyewe napiga mahesabu hayaingii akili, na ukizingatia 2014 ndo kwanza imeanza sasa sijui hao watoto wamepishanaje loh
 
Tatizo wote bado mna utoto na mbya zaidi wewe bado hujawa tayari kutulia
 
Wanawake sometimes utadhani wanawaza kwa kutumia makalio
sijui a nadhani akitoka hapo atarudi kwao, mtu mwenyewe hapo utakuta hadi hela ya kiberiti anaomba
if I were a man if I were a man......!!!!!!
basi tu ndo maana sijawa

true kenda shule ila hana kazi mda sasa.
 
imewai tokea Kuna mwanamke tulikua tunawasiliana ila kwasasa hakuna io shida na nilishamweleza

Kumbe shida iko hapa!
Tatizo aanzae huwa yuko salama siku zote ila anayemalizia!!!!
Mheshimu na uiheshimu ndoa yako uone kama atadai kuondoka!!!
 
Cha muhimu kama unaishi nyumba ya kupanga amia sehemu nyingine Labda ataridhika! Pia labda yale mapenzi yenu ya zamani hayaoni tena kwa iyo anaboreka.
Tumebahatika kujenga ndugu, kama Kuna mabadiliko ni sababu ya hivi viuogomvi tu.
 
kwa Kweli nakosa raha sana. uamuzi unakua mgumu kwangu kwaajili ya wanangu
Nakuelewa lakini jiulize nafsi yako jee utakubali kuchukua machungu kwa sababu ya watoto? wewe ndio mtafutaji nadhani
yani uhangaike kutafuta pesa na ukirudi nyumbani unategemea pawe tulivu ndio nako kuna moto na excuse unasema watoto,watoto wananini? au huo ugomvi wa kila siku hao watoto hawaoni? samahani kama ntakua nimesema sana..
ila nakuonea huruma....
 
Wanawake sometimes utadhani wanawaza kwa kutumia makalio sijui a nadhani akitoka hapo atarudi kwao, mtu mwenyewe hapo utakuta hadi hela ya kiberiti anaomba if I were a man if I were a man......!!!!!! basi tu ndo maana sijawa
ha!ha!haaa ungetunyanyasa sanaaa!Mungu sio Bashiri nae anajua mwe!
 
Ungewafanyaje sasa?
Wanawake sometimes utadhani wanawaza kwa kutumia makalio
sijui a nadhani akitoka hapo atarudi kwao, mtu mwenyewe hapo utakuta hadi hela ya kiberiti anaomba
if I were a man if I were a man......!!!!!!
basi tu ndo maana sijawa
 
kwa uelewa wangu jamaani msaliti na anamdharau sana huyu mwanamke na ana promise nyingi ambazo hajazitimiza.pia kuishi na mtoto wawatu miaka nenda rudi amemzalisha watoto 2 bila ndoa alafu nyodo juu ndi kisa cha huyu mwanamke kuona bora ajiondokee!!!
 
Hahahaaaa.. Karibu. Bado sijaoa aisee. ila nikioa na Mungu akanipa uzao, hii habari ya kuacha gap la miaka kumi na tano siiwezi

hahahahahaha Tized umeniacha hoi wewe unao wangapi wa chapchap
 
kumbe shida iko hapa!
Tatizo aanzae huwa yuko salama siku zote ila anayemalizia!!!!
Mheshimu na uiheshimu ndoa yako uone kama atadai kuondoka!!!
hana ndoa na huyo dada!wapi aliposema wanaishi kihalali kama mke na mme amezaa naye tu.so jamaa anajiona bado bachelor free molecule he ca do what ever .mimi nawajua vizuri wanaume wa aina ya huyu tabia na maneno yao .i know them very well
 
Fikiria na tafakari ushauri uliopewa na wanajamvi ban so, kisha fanya maamuzi.
Tunasubiria "feedback" mkuu.
 
hana ndoa na huyo dada!wapi aliposema wanaishi kihalali kama mke na mme amezaa naye tu.so jamaa anajiona bado bachelor free molecule he ca do what ever .mimi nawajua vizuri wanaume wa aina ya huyu tabia na maneno yao .i know them very well
kuna sehemu amesema wamefunga ndoa 2012.unawafahamu mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…