Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,665
Habari za huku.
Hongereni kwa uchaguzi ulioisha hivi karibuni.
Ndugu wanajamii nina mke ambae ana wivu na mimi mpaka nafikiri kumuacha maana hataki hata niongee na watu wa jinsia yangu.
Yeye kila siku analalamika kuwa nawapenda wazazi na marafiki kuliko yeye.
Muda wote anataka tukae wote tu hata kazi hakuna kufanya hivi ndio inakuwaga hivi au anataka kunianzishia isidingo?
Karibu.