Mke amzidi mume umri wa miaka 2.

Mke amzidi mume umri wa miaka 2.

Sincerely naomba niseme kua nimefurahishwa sana na mada hii, because I had the same problem but aliyekuwa wangu alikua kanizidi mwaka mmoja, na mbaya zaid promise za kuja kuoana nae tulikua tushapeana in 5 to 6 years to come!
But ikabidi baada ya kufikiria na kuomba ushaur sana kwa watu, previous week nika slotter!
Sijapenda kuja kuish na mzee wakat totoz ndogo zipo, although mwanzon ndio nilikua nimekosea kukaa nae the whole long period bila kumuuliza mambo ya umri!
 
Nadhani unahisi kua uko tayari kuoa lakini kwaukweli bado ni mtoto mdogo sana,22 ivi mpaka sasa una shahada gani ya shule? nenda shule kaka mbona hizo K hazishi na utachagua kila miaka hata ukitaka wa 17yrs utampa,lakini sasa ukianza na kuoa na mke anataka matunzo unatafuta BP isiyo ya lazima na kutaka kujitesa kwenye maisha,bado hujaona wazuri,au huyo mdada amekwambia hakupi K mpaka uoe?
 
Jaman leo ni mara yangu ya kwanza kujitokeza hapa jukwaani, jaman naomba kuuliza hivi kuna ubaya/uzuri gan kwa msichana kumzid mvulana wake umri. Imentokea nina umri wa miaka 22 na girlfriend wangu ana 24, cha msingi tunapendana nae sana na kuheshimiana kila m1 wetu. Hatujawah kukutana kimwili toka kpnd chote cha uchumba wetu (1yr sasa) naomba mchango wenu kwa hili jamani.
.. Mwanangu, hebu nieleweshe mama yako, ni "girlfriend" au ni "mchumba"? maana umetumia yote haya mawili kumuelezea huyu mkwe wangu. Si unaelewa kuwa hivi ni vitu viwili tofauti? Are you just dating or do you plan to marry her? All I can say is - "LOVE surpasses all" and at the end of the day, the rules of the games are the same kwa waliopishana miaka and vice versa. Mungu akujalie uweze tambua yule aliekuandalia wewe
 
Just pray young blood 'coz you can be sure as hell that 'mke mwema' comes from the lord
 
Mie mwenzio skushaur kuoa dada anayekuzd umr,mnaweza pendana sana sasa hivi ila baadae nuksi. Coz atazeeka mapema we bado kijana. Sa hv unamuona mdogo kwa7bu tu ajazaaa, akizaa we mwenyewe utashangaa kazeeka ghafla. Kingne tamadun za mwafrka ni mke kuwa mdogo kwa mme. Imagine watoto wenu wakikua then wasema et mama ni mkubwa kuliko baba i think it doesn't sound clear
 
Mbele ya safari mambo yatakuwa magum kumbuka wanazeeka haraka .

kuzeeka ni wewe mwenyew unavyojiweka mwanamke

unaweza kumzidi mwanamke miaka mitano still ukamchoka mkeo mapema..

tamaduni zinawaharibu watu sana...

wewe oa tu usiangalie 1+1 ni ngapi...
 
Jaman leo ni mara yangu ya kwanza kujitokeza hapa jukwaani, jaman naomba kuuliza hivi kuna ubaya/uzuri gan kwa msichana kumzid mvulana wake umri. Imentokea nina umri wa miaka 22 na girlfriend wangu ana 24, cha msingi tunapendana nae sana na kuheshimiana kila m1 wetu. Hatujawah kukutana kimwili toka kpnd chote cha uchumba wetu (1yr sasa) naomba mchango wenu kwa hili jamani.

Kama baadhi ya wadau walivyotangulia kusema, tofauti ya miaka 2 si kubwa sana, inaweza kuvumilika, ila tatizo ni umri wako kwa ujumla ni mdogo kuingia kwenye ndoa. Ni vyema uwe muangalifu na uwe na maandalizi ya kutosha kabla ya kuingia kwenye chama hiki.
 
umri tatzo mkuu.,kwa xaxa unawez kuona ni sawa lakin baadae heshima itashuka.
 
Whoever lied to you age is just a number shemeji kipenzi!??

shemeji kipenzi, kuna haka kamsemo kanasema ' age is a man made system for measuring our own rate of decay, not for measuring who we should fall in love with'
naomba kamtie moyo mtoa mada!!!!!!
 
Kiukweli haka kamsemo kanawafariji sana watu. Lakini, boy, ukiwa na miaka 22 kwa hesabu za haraka kijana anapaswa kuwa masomoni na binti wa 24 years angekuwa anachumbiwa na kijana wa miaka 27+


Well said. Wala hujakosea mkuu Asprin. Hapa kijana atapata taabu baadae, kwani binti atazeeka kabla yake. Yafaa (ila sio sheria) mume amzidi mke miaka kati ya 5 mpaka 10.
 
shemeji kipenzi, kuna haka kamsemo kanasema ' age is a man made system for measuring our own rate of decay, not for measuring who we should fall in love with'
naomba kamtie moyo mtoa mada!!!!!!

Cc: Asprin ...ona wajukuu zako.

Age Reflects Maturity.
 
Last edited by a moderator:
jaman leo ni mara yangu ya kwanza kujitokeza hapa jukwaani, jaman naomba kuuliza hivi kuna ubaya/uzuri gan kwa msichana kumzid mvulana wake umri. Imentokea nina umri wa miaka 22 na girlfriend wangu ana 24, cha msingi tunapendana nae sana na kuheshimiana kila m1 wetu. Hatujawah kukutana kimwili toka kpnd chote cha uchumba wetu (1yr sasa) naomba mchango wenu kwa hili jamani.
kinachotakiwa katika mahusiano ni maelewano na kuheshimiana tu,wanasaikolojia wanasema mwanamke huwa anapenda sana kusikilizwa na mwanaume.ushauri wangu ni kwamba umri ni namba tu,kinachotakiwa sikilizaneni na mfanye mpenzi wako kuwa kama rafiki yako,mtafika mbali sana.ubabae no
 
Jaman leo ni mara yangu ya kwanza kujitokeza hapa jukwaani, jaman naomba kuuliza hivi kuna ubaya/uzuri gan kwa msichana kumzid mvulana wake umri. Imentokea nina umri wa miaka 22 na girlfriend wangu ana 24, cha msingi tunapendana nae sana na kuheshimiana kila m1 wetu. Hatujawah kukutana kimwili toka kpnd chote cha uchumba wetu (1yr sasa) naomba mchango wenu kwa hili jamani.

nafurah kwa michango yenu ya mawazo mazuri. NAPENDA KUONGEZA TENA MAADA. Kielimu yeye yupo 4m 2 ( ni kutokana na mambo kadahaa yalimpata huko nyuma akasimama shule kwa muda ) na anajitahd sana shulen maranying yupo kwenye tano bora, na mimi nimehitimu kidato cha 6. Mwaka 2012 nkashndwa kutuma maombi ya chuo (nilikuwa na den shulen vyeti vilizuiliwa) mwaka huu nimechaguliwa kujiunga na chuo kimoja wapo hapa Tz (MWUCE) sikujiingiza ktk mapenz hapo kabla na nimejikuta nipo ktk penzi lake zito, kiukwel ana umbo dogo kimwil unaweza kusema ana miaka 20 ukimuangalia ghafla! Kiukwel nafarijika kuwa nae na ananipenda hivo tunatarajia kuwa mke & mume hapo baadae. ILA NAPENDA KUSIKIA MENG KWENU KUHUSU UTOFAUTI WA MIAKA ila jaman SI KUMUACHA! Teh teh teh Ahsanteni
 
Una miaka 22????????????????????????????????????????????????????
 
Kuna watoto wadogo sura za kizamani, na kuna wazee lakini baby face, number ya age usikusumbue,
 
If you're compatible and you love each other, don't worry about 2 little years....! We muoe tu!!!!! Kwani age si ma namba namba tu, yasikuogopeshe!!!!!!!
mnaweza kufanya hivyo but inategemea na wewe ni mwanaume wa aina gani...mfano kama unamambo ya utoto kidogo...ni wazi anaweza kukuchoka mapema maana mwanamke hupenda kuongozwa hata kwa asilimia fulani,kwa case ya huyu ana xperience na wakubwa zako na pia ametanguli kuona jua...kama wewe ni mbandidu kiasi au mwenye itakadi za kikoloni unaweza ukakaa nae!
 

umri sio ishu jamani
ishu mapenzi ya kweli!!
kama mwapendana sioni shida
watu wanawazidi waume zao miaka kumi seuse huyo!!

 
Back
Top Bottom