Mke amuua mume wake kwa panga

Mke amuua mume wake kwa panga

Mwanaume aitwaye Mugeta Maiga, mkazi wa Kwangwa A, Musoma mkoani Mara, amefariki dunia baada ya kupigana na mke wake Nyachiro Masatu kwa kutumia mapanga.
Nyachiro Omuyasha wa Tabhu wambata akomela omurume
 
Roho mchafu umuingia mtu atende mauaji then roho huyo mchafu umtoka mtu ufahamu unamrejea ndipo utambua ametenda kosa uanza kujutia
 
Hiyo ni mtu na mumewe, nadhani taarifa iliyopo huyo mwanaume alikuwa ni mtumishi dereva serikalini na mwanamke ni nurse,

Sasa mwanamke alipomuua jamaa usiku asubuhi kaenda zake kazini kama kawaida,

Mi naishia hapo jamaa atarudi kujazia
Hii gender ni noma kuna watu wakiambiwa wanabisha.
 
watu wa kabila hizi acha waoane wao kwa wao, damu ya chuki, visasi na ukatili.
Tembelea huko sasa uone uhalisia! Kuna maeneo katika mkoa wa Mara, ni vigumu kupata familia ambayo haina mwanamke angalau mmoja toka makabila mengine....
Na kiasili wanawake wanavutiwa na 'wanaume' siyo watu nyoronyoro walamba midomo
Majina ya kikurya yote unayajua?
Masatu, Maiga, Nyachiro....hakuna jina la kikurya hata moja hapo. Matendo mabaya huko yapo mengi tu, lakini hiyo haikupi haki ya kuwabambikiza hata yale yanayofanywa na wengine. baba wa uongo ni yuleyule ambaye pia ni baba wa uuaji....ibilisi. Ungekuwa unajitambua pale mwanzo ungeuliza hayo majina ni ya kabila gani badala ya kuwatwika watu ambao maovu yao yanawatosha.
 
Japo unyama upo kila sehemu ila mara mmmmh. Mi nafanya kazi ziwa vic ila watu wa msoma wako radhi kuuwa mtu ili wamnyanganye samaki za kilo 200. Yaani anauwa kwaajiri ya 2000000 tu
Hakuna kiwango cha hela kitahalalisha mtu kumuua mwingine, lakini kuna maeneo watu wanaua na kukwapua laki kadhaa! Labda wewe umeona huko tu na ukabaki unajidanganya kuwa kwingine hakuna mauaji yanayotokea kwa ajili ya kuiba hela ndogo.
 
Tembelea huko sasa uone uhalisia! Kuna maeneo katika mkoa wa Mara, ni vigumu kupata familia ambayo haina mwanamke angalau mmoja toka makabila mengine....
Na kiasili wanawake wanavutiwa na 'wanaume' siyo watu nyoronyoro walamba midomo

Masatu, Maiga, Nyachiro....hakuna jina la kikurya hata moja hapo. Matendo mabaya huko yapo mengi tu, lakini hiyo haikupi haki ya kuwabambikiza hata yale yanayofanywa na wengine. baba wa uongo ni yuleyule ambaye pia ni baba wa uuaji....ibilisi. Ungekuwa unajitambua pale mwanzo ungeuliza hayo majina ni ya kabila gani badala ya kuwatwika watu ambao maovu yao yanawatosha.
Mimi natoka huko na tumeoa huko mara 5 utanibishia nini sasa naongea nachokijua.
Wale bila ubabe na utemi hawaendi ni nature.
 
Hakuna kiwango cha hela kitahalalisha mtu kumuua mwingine, lakini kuna maeneo watu wanaua na kukwapua laki kadhaa! Labda wewe umeona huko tu na ukabaki unajidanganya kuwa kwingine hakuna mauaji yanayotokea kwa ajili ya kuiba hela ndogo.
Shida ni pale mnapokutana watu wa idara moja. Mfano unakutana na mvuvi wa kiganda na mzigo unao. Huyo ni mtu wa nchi nyingine ila unakuwa na amani kuliko kukutana na mtu wa mara ukiwa na mzigo. Yaani huwezi kutana na maboat ya watu wa msoma kumi kisha yote yakuache salama ila waweza kutana na maboat ya watu wa ugana miatatu na ukabaki salama. Hilo unalipimaje
 
Rudia kusoma hata mara kumi hiyo post yangu uliyoi~copy utaelewa nilichoandika.
 
Mimi natoka huko na tumeoa huko mara 5 utanibishia nini sasa naongea nachokijua.
Wale bila ubabe na utemi hawaendi ni nature.
Unatoka huko na mmeoa mara 5 huko lakini bado huna uwezo wa kutofautisha majina ya huko?! Jina Masatu ni la wakurya?! Nyachiro ni wakurya?!
Mmeoa huko, mimi primary yote nilisoma huko tena ndani kabisa ninawajua wakurya wana mapungufu yao mengi tu. Lakini narudia tena nilichoandika huko juu, hauna haki yoyote kuwabambikiza makosa yasiyo yao. Ndiyo maana mkiulizwa nyie wakosoaji ni wa wapi huko kusiko na maovu mnaingia mitini!
Hao wahusika walioripotiwa kwenye huu uzi siyo wakurya. Hata ubishe vipi haitawafanya hao kuwa wakurya.
 
Back
Top Bottom