KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,458
- 5,462
Yaani kabla ya kuondoka kwenda kazini, alichemsha chai akala na kiporo cha wali wa maharage bila hata wasiwasi wowote.Aisee!!!? Yan akaondoka kwenda kazn kama vile mwenzake ataamka tena
Yaani kabla ya kuondoka kwenda kazini, alichemsha chai akala na kiporo cha wali wa maharage bila hata wasiwasi wowote.Aisee!!!? Yan akaondoka kwenda kazn kama vile mwenzake ataamka tena
Bas inaonekana alikuwa kadhamiria kumuua toka siku nyingiYaani kabla ya kuondoka kwenda kazini, alichemsha chai akala na kiporo cha wali wa maharage bila hata wasiwasi wowote.
AiseeNyachiro weta omnu!!. [emoji22][emoji22]
[emoji23][emoji23],daaa sitelingi akawa mwanamke na kubwa la maadui mwanaume. mwanamke inaonekana alikuwa anazikwepa vya kutosha pangq za jamaa,halafu yy kila akilusha jamaa zinampata.Bonge ya movie!
Kila mtu panga mkononi.
Tap, tap, tata tap, tap tap tap!
Kisha: Mwanaume ngwala chini, paaap! Halafu: panga nne za shingo.
Awe Nyachiro webhuwe mungeta! Oli Lola weta umulume wao Mugeta mungeta.Nyachiro weta omnu!!. 😢😢
Moja kati ya jamii 4 zimejikita kwenye ukatili duniani.Mwanaume aitwaye Mugeta Maiga, mkazi wa Kwangwa A, Musoma mkoani Mara, amefariki dunia baada ya kupigana na mke wake Nyachiro Masatu kwa kutumia mapanga.
🤣🤣Awe Nyachiro webhuwe mungeta! Oli Lola weta umulume wao Mugeta mungeta.
Ukiwa mdebwedo ukakutana na mziki wa bhoke lazima ukae......itakubidi uende kwanza jkt...Na ujanja wangu woote sijawahi kuchukua dem kutoka mkoa wa Mara na Sina mpango. Kwanza nasikia hawana visembuse/ving'amuzi
Nasikia kina Bhoke hata umnunulie khanga doti kumi haoni kwamba unampenda mpaka umtie ngeu kwanza.Ukiwa mdebwedo ukakutana na mziki wa bhoke lazima ukae......itakubidi uende kwanza jkt...