Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,307
- 18,733
Sasa kabila lilitoka angani? Kabila lilianza na mtuKabila huwa lina muasisi? Wewe ni kabila gani ambalo wote ni wema???
Sasa kabila lilitoka angani? Kabila lilianza na mtuKabila huwa lina muasisi? Wewe ni kabila gani ambalo wote ni wema???
Kabila gani mbona hujalitajaMwasisi wa hili kabila alipanda roho chafu Sana ni Yesu na elimu pekee ndo mkombozi
Lile la Ngumi jiwe unapigwa kwa ubapa wa panga na sio khanga.Kabila gani mbona hujalitaja
Yani watu huwa wanasubiri mkoa wa Mara ndo waibukeKuua mtu siyo jambo jema.....ni mkoa gani ambako mauaji hayafanyiki?!
Maana mauaji yakiripotiwa kwingine hakuna hizi lugha, ila yakitokea Mara lugha inabadilika! Wapi huko kwenye malaika tupu?!
Wametushinda itabidi tujitahidi tushinde sisiDuuh, kwahiyo 2-1
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ngapi ngapi huko?
Hahahaha....kwa kizazi cha sasa ule ukorofi uliochangiwa pia na malezi ya kibabe umeisha mkuu, vijana wengi wa kutoka mkoa wa Mara tangu miaka ya 80 wengi walikuwa na mwamko wa elimu hivyo wameajiriwa maeneo mbalimbali ya nchi serikalini na kwenye sekta binafsi na hivyo kuoa watu wa makabila mengine na kujikuta wame dilute ile asili ya ukorofi na yale malezi ya kibabe ya fimbo na ngumi mkononi yanakuwa kama hayapo tena.....hao wakorofi kwa sasa labda utawakuta maeneo ya vijijini, hawa wa mjini wameshakuwa waswahili tu kama wazaramo hawana madhara yoyote....Nasikia kina Bhoke hata umnunulie khanga doti kumi haoni kwamba unampenda mpaka umtie ngeu kwanza.
Afadhali umesema.Hahahaha....kwa kizazi cha sasa ule ukorofi uliochangiwa pia na malezi ya kibabe umeisha mkuu, vijana wengi wa kutoka mkoa wa Mara tangu miaka ya 80 wengi walikuwa na mwamko wa elimu hivyo wameajiriwa maeneo mbalimbali ya nchi serikalini na kwenye sekta binafsi na hivyo kuoa watu wa makabila mengine na kujikuta wame dilute ile asili ya ukorofi na yale malezi ya kibabe ya fimbo na ngumi mkononi yanakuwa kama hayapo tena.....hao wakorofi kwa sasa labda utawakuta maeneo ya vijijini, hawa wa mjini wameshakuwa waswahili tu kama wazaramo hawana madhara yoyote....
Hahaha....kuna wakurya wengi ambao wapo very humble, hata umtie vidole machoni hawezi ku react, mwacheni dogo anaweza kuwa amepata bahati yake.Afadhali umesema.
Mdogo wangu anamchumba wa kikurya. Tumempa tahadhari zote lakini hasikii. Anasema yeye ni Wankuru tu. Kufa na kuzikana.
Huyo mpenzi wako ni ke or me[emoji16][emoji16][emoji16]Daah, enhe, nilikuwa na mpenzi wangu wa maeneo hayo, siku moja nikamwambia '' mguu huu usogeze hivi basi'' daah, ehee; akasimama , '' yaani wewe unanionaje mimi , unanidharau, yaani ikawa kama vita, . nikasema hii ni mwanzo na mwisho, hunioni tena
Kwa maana nyingine hayo yakifanywa na wanaume basi ni sawa na hakuna demonic powers right?Wanawake kuwa na ujasiri wa kupitiliza kupigana na wanaume wanakuwa under influence of demonic powers, ni nguvu za mapepo tu hakuna kingine. Kuna kesi moja nimeletewa hapa mwanamke anamshikia mme wake kisu, na hawa watu ni wasomi kabisa na si wazaliwa wa mkoa wa Mara. Wanaume kaeni chonjo kuwa na mazoea na wanawake hasa wake zenu au wale ambao mko nao kwenye mahusiano, apply maximum seriousness, usiruhusu mizaha au majibizano na malumbano ya aina yoyote.....
Wanaume asili au maumbile yao yako hivyo, ubabe na mwanamke wapi na wapi? hayo yanakuwa ni mapepo maana hata makanisani tunawashuhudia yanavyowalipuka........Kwa maana nyingine hayo yakifanywa na wanaume basi ni sawa na hakuna demonic powers right?
Kwa kichwa hiki cha attachment yako, tuamini kuwa ushoga sasa ni rasmi?Dah..... 😳
![]()
Shinyanga: Mume aua mke wake kwa Panga akimtuhumu kusaliti Ndoa yao
Mwanaume anayejulikana kwa jina la Heneriko John (53) mkazi wa Manispaa ya Shinyanga, amedaiwa kumuuwa mke wake Regina Jiyenze (45) kwa kumkata mapanga kichwani na mabegani, kisha kujisalimisha kwa Jeshi la Polisi. Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga George Kyando, amesema tukio hilo...www.jamiiforums.com
![]()
Geita: Mume amchinja mke wake na kisha yeye kujichoma kisu tumboni
Imetokea katika wilaya ya Mbogwe kata ya Lulembela mkoani Geita, ambapo tukio limetokea mida ya saa 6 mchana. Wawili hao wenye watoto saba imegundulika baada ya mtoto kutoka shule na kukuta nyumba imefungiwa ndani huku mziki ukiwa unapigwa (sabufa) badae mtoto akaenda kuita majirani baada ya...www.jamiiforums.com