Mke amloga mumewe! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mke amloga mumewe!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Jidu, Sep 11, 2012.

 1. Jidu

  Jidu JF-Expert Member

  #1
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,167
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
  Capture.PNG

  THE wife of an ex-Premier League goalie has confessed on TV to being a witch who sabotaged his career by putting spells on him.
  Richard Kingson, 34, has played in the top flight for Birmingham, Wigan and Blackpool and is the most capped player with his native Ghana.
  But since he was released by Blackpool last year he has been without a club and lost his place in the national squad. Now wife Adelaide Tawiah has appeared on a Nigerian TV show to claim she sparked her hubby’s loss of form with a black magic spell — and made him impotent for good measure.
  She said: “I messed up Richard’s life ever since we got married. I used my evil powers to trouble his career.
  “I’ve been working on him spiritually, to the point he could not perform in bed.”
  Her confession came as a controversial TV preacher called TB Joshua was casting out the “evil spirit” that allegedly had a grip on her.
  Richard, who wed Adelaide following the 2010 World Cup, yesterday went on Facebook to insist: “My wife is not a witch.”
  He said people were often possessed by “false spirits”.
  Since last week’s broadcast Adelaide has also denied being a witch — saying it was the spirit that was being cast out that spoke.
  She said: “I can’t even remember what took place.
  “I am not a witch as it has been rumoured. My husband knows how inspirational I have been to him throughout his goalkeeping career.”
   
 2. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #2
  Sep 11, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,276
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280

  West Africans uchawi ni part na parcel ya maisha yao. Na hata ukiongea nao hawafichi...kulogana kwao ndio mpango mzima.

  Hawa watu si wa kujichanganya nao kimapenzi wala business. Lazima watatumia 'spell'. Lol.
   
 3. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #3
  Sep 11, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Kwa wale mnaotaka kuoa west Afrika mjiandae!!! Wale wanawake si mchezo!! Wanaloga balaa. Hata wachungaji wa makanisa mengi siku hizi wanahudhuria Nigeria kupata power!!! Kwa kweli hizii dini za kina Lwakatare zinanichosha.
   
 4. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #4
  Sep 11, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Ndio ule uchawi unaoitwa DAWA YA PENZI au..?
   
 5. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #5
  Sep 11, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,276
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Kuna movie nilikuwa naangalia ...yani mdada sister du kabisa wa mujini alenda kumpikia kijana ambaye amemzimikia...kijana anajidai mgumu.

  Sasa baada ya ku save chakula eti anaonja; kijana anmuuliza mbona unakula chakula changu?

  Anajibu...usije ukadhani nimeweka love potion.

  Haya mambo wanayo sana.
  Ndio maana wanasali sana...maana hakuna usalama kule.

   
 6. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #6
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Hayo maandishi niliyopigia mstari yamenichanganya kidogo, ukweli ni upi, alimrogo huyo mumewe au laaa? Tuamini nini?
   
 7. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #7
  Sep 11, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Mmh! TB Joshua needs to put a special service ceremony for celebs!
  Hivi ma'mvi alipoenda hakutolewa pepo za hela ya dowans?
  'I spelled black magic on tanesco, to the extent it will never buy any more nguzo and produce enough electricity for Tz!'
   
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  hii kitu mbona unataka kuenea hivi??

  Kuna mdada mlokole, shangaa anapiga power jamani ili aolewe.

  Yaani mie nimeambiwa leo, nikachoka kabisa.
  Dah!
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  anakupa wewe nini?
   
 10. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #10
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280

  Kwahiyo akija Pat Attah au Dumelo
  akakuta umeachika kwa mumeo,akasema akuoe utakataa?
   
 11. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #11
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Ndio, kuna mtu nataka kumloga kwa kwenda mbele.

   
 12. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #12
  Sep 11, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mapepo
   
 13. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #13
  Sep 11, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,276
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Mapenzi yangu kwao ni kwenye movie tu. Mi ni fan.

  Muulize Nadia kilichomfanya apigwe chini na mceza mpira wa Chelsea...mkaka amepigwa ma love potion nusu kiwango kishuke. Mpaka waghana wakaja juu...wamuache star wao. Nadia na uzuri wote kabwaga manyanga...mdada mmoja hata sura haieleweki ndio kwa sasa anashika usukani...the same lady eshazaa na superstar mwingine wa Ghana...naona yeye mganga wake ni noma.   
 14. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #14
  Sep 11, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Baba, dawa ya penzi ni ile ya mpira. Haikulwi, inavaliwagwa tu:cool:kama ingekuwa inaliwagwa mi napenda straberry!
   
 15. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #15
  Sep 11, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  ha ha ha.... Mtambuzi dawa ya penzi unaijua wewe......?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...