Mke amenenepa baada tu ya kumuoa

Mbona wanaume nao hunenepa na hatusemi
 

hongera mkuu kwa kuweza kuwa ndani ya mhimili kwa miaka saba bila kumchoka mkeo! na sitegemei kama utamchoka hata akiongezeka kilo 5 maana inaonyesha ana amani ndani ya ndoa yake na wewe!
 
Last edited by a moderator:
jamani kumbuka kunenepa mwanamke ni kawaida hasa pale aptapo mimba akijakujifungua lazima atanenepa nenepa bebamimba wewe mwanaume uone kama atanenepa
 
pole kaka ,ila unatakiwa kufahamu kuwa wanawake huwa wanaridhika haraka sana hata kama nyumbani hamna chakula , huwa tunajdai portable kabla ya kuolewa au kuzaa.once mwanamke anapozaa viungo vyake hutanuka kwa haraka zaid ndo mana weng hunenepa. Naamini unampenda mkeo mshauri afanye mazoezi na kupunguza mlo,atapungua kdogo kama hatarud umbo la mwanzo jua hlo ndo umbo lake na uridhike naye.
 
pole sana hapo andika maumivu maana hawez kurudi kama zaman
 
Mi nkiona portable ntapenda kadiri tunavyoishi awe mnene....hata hivyo sinto oa kwa ajili ya ngono tuu
 
jamani kumbuka kunenepa mwanamke ni kawaida hasa pale aptapo mimba akijakujifungua lazima atanenepa nenepa bebamimba wewe mwanaume uone kama atanenepa

we nae umekaa umepanua miguu katika keyboard unaandika upuuzi
 
hizi ndoa zimeingiliwa jamani, lol! huyo unayemsema hivyo ni mkeo kipenzi au?
 
Akeshanenepa anaanza kujiwekaweka kama mzee vile
 
mkuu kunenepa ni ishara ya matunzo mazuri, hongera sana.
 
wanawake wanene mie sipendi kabisa,,unakuta kidemu kinene kama school bus,,,Alafu utakuta wenyewe wanasifiana shoste umenenepa umependeza,linaitikia asante mie nawaangalia nasema nyie mngejua kuna watu atupendi midemu minene minene km gunia demu mtumbo huo aaaarrrrgggghhhhhhh
 
Angalia jinsi ya kumsaidia kupunguza unene hali kwenye hali yake kuna dawa za chakula za weight management kama huko tayari nitafute nikupe product za
 
Angalia jinsi ya kumsaidia kupunguza unene hali kwenye hali yake kuna dawa za chakula za weight management kama huko tayari nipm contact zako nikupe solution ya product zitazomrudishia mkeo kwenye shape yake ya awali utafurahi
 
Wewe kila siku unampeleka kupata bia na mbuzi katolika, mara mbuzi wa ukweli, mara ng'ombe, mara makongoro, mara vile na mindizi ya kuchoma na chips unategemea nini?? Halafu eti mama usipate tabu gari hii nenda kazini, amekaa kutwa kule, akirudi anakuta cret la bia hapo na mapochopocho, badala ya kumwambia hata akapige tizi hapo mtaani unamwacha tu. Kosa ni lako mwenyewe!!! Huo ni mzigo wako na imekula kwako!!! Sasa peleka gym kwa gharama zako. Si mkeo bana, si unataka standards na vipotability!!
 
Tell her.
 
Mutuwache na miili yetu mnatuchosha kila kukicha portable portable khaaa
 

Tyta upo? Tunaomba mwongozo huku!!

 
What about this....balanced
 

Attachments

  • 1395565802620.jpg
    44.3 KB · Views: 84
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…