Mke aliyeachika ameanza kuniwinda

Mume wake akijua kuwa unamahusiano nae moja kwa moja atajua we ndo chanzo cha kusambaratisha ndoa yake, kifatacho ataanza kukuwinda. Akikukamata mimi na wewe hatujui atakufanya nini.

Kama ni msaada we mpe tu kadri ya uwezo wako na kulingana na yeye anavohitaji msaada toka kwako ila suala la mapenzi mkaushie kwanza,
 
Unajaribu kukanyaga pabaya
Unayapenda marinda yako mkuu
 
Sawa mkuu[emoji1317]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…