Africa Tanzania
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 1,503
- 2,276
Nitamuuliza, sasa kwanini moyo wake unamdunda kila anapo kutana na jirani wake aliyekuwa mume wa bidada..!!??
Ilikatika na ukaicha hapo hapo haukuiota kwann[emoji38]Sikunyandua serious! Penis yenyewe nilihisi imekatika njiani!
Vipi kuhusu wewe una mke au?
Huenda anataka akutumie wewe ili kumuonesha Mumewe kuwa bado analipa.
Na huyo mume akijua kuwa unahusiana na mkewe atahisi mlikuwa na mahusiano hata kabla hawajaachana. Huenda naye akawaza kulipizia kisasi. Na huenda ukapata matatizo kutokana na mgogoro wao.
Kila la heri.
Jitahadhali tu mkuu isije ukawa unatumika, sometimes is better to be wiser and avoid bodly emotions.
Hama mtaa ukwepe kila kitu kama moyo kudunda alafu kama ememfeel huyo mother na mnala unasimama ukimuonr
Jibu unalo wewe mwenyewe
Vipi ukiongea nae dushe linasimama?
Ushauri wangu: Kama jamaa kamuacha kweli na una uhakika kamuacha kweli basi hakuna haja ya kujiuliza maswali mengi.
Tafuna mzigo[emoji39][emoji39][emoji39]
Kweli penye miti hakunaga wajenzi kabisa wallah.... Maana huo mzigo ulikuwa tayari ushajielekeza kibla, na ukajilasa kusubiri kuchinjwa tu.Sijamla aiseee! Nilisepa[emoji1][emoji1][emoji1]
Mheshimiwa mjumbe, nasikitika sana kwa kuona jinsi mleta mada alivyo tuangusha wanaume.[emoji38]atasema hakunyandua
Alisahau dua yakuchinjia huyu[emoji38]Kweli penye miti hakunaga wajenzi kabisa wallah.... Maana huo mzigo ulikuwa tayari ushajielekeza kibla, na ukajilasa kusubiri kuchinjwa tu.
Ahahahahaha hajui kama hata wale nyani weupe wanakula ndani ya first dateMheshimiwa mjumbe, nasikitika sana kwa kuona jinsi mleta mada alivyo tuangusha wanaume.
Inategemea sababu za kutengana kwao, kwa mwanamke kama alikuwa ameshakuchoka na yuko radhi muachane hubaki huru saana na hajutii chochoteWanasema kuachana hua ni chuo kwa mawanamke.. Eti Ke wanakua very Desciplined baada ya ndoa kufa.
Je kuna ukweli?