Tundusami
Senior Member
- Feb 7, 2026
- 116
- 262
Mwanadada alihaamua kujipiga Selfie Na Mume Wake Aliyefariki , Na Kumtumia Mpenzi (mchepuko)Wake Kama Uthibitisho na kumwambia.
Hatimaye tumekua huru kwenye mahusiano yetu mapya.. kabla ya hapo mdada huyu aligundua kua mume wake Hana maisha marefu na hakuna kitu anaweza kumfanyia tena kwaio alitafuta mwanaume wa pembeni ili kufidia nafasi atakayoicha mme wake akishafarikii..
Hata hivo haikwenda kama alivyotarajia kijana huyo aligoma kuishi nae na kumwambia kama ameshindwa kuonyesha upendo Kwa mme wake wa ndoa atawezaje kumpenda yeye Kwa dhati.
Picha ningeweka apa ila zinatia huluma sana