Utakuta Mwanaume akioa mke basi kila kitu anataka afanyiwe: apikiwe, anyoshewe, achaguliwe nguo ya kuvaa, nguo za ndani afuliwe na pia aambiwe badilisha leo na vaa hizi hapa, maji ya kuoga awekewe tena ya moto sababu ameoa asipofanyiwa ataenda nyumba ndogo
hebu tujadiliane inawezekana kama mke pia anafanya kazi. huku si
ndo kumfanya mke mama na mume kuwa mtoto mdogo
asiejiweza mwenyewe
nini maana ya kuwa mke ni msaidizi ni kuwa kila kazi yako ifanywe na msaidizi na wewe huna kazi hiyo wenzetu wanaita overdelegation
KARIBUNI