Mke afya OK, mume low sperm count - ushauri please

Umesema vema sana ndugu yangu. Ushauri wako huu naufanyia kazi na nitarejea hapa.
 

pamoja na new tech.. Pia badili life style mkuu kuanzia diet, mazoezi, stress, na hakikisha unatafuta fertility specialists, hapo dar kuna dr. Anaitwa kapona yupo muhimbili au tumaini atakusaidia
 

you look like the feminist one maono yako tu yanaonesha hivyo..
 
dotnet
ushauri tafadhali kama kuna njia yoyote ya asili (natural) isiyoenda kinyume na imani ya Kikristo

Mkuu, dotnet pole kwa usumbufu. Sikujua kwamba codes nyingine zimebeba adverts za watu. Tumia maneno ya Billings Ovulation Method kwenye google na u"search".
 
[Umesema vema sana ndugu yangu. Ushauri wako huu naufanyia kazi na nitarejea hapa.]

Kila la heri Mkuu. Ila usiache kutumia nyama kabisa. Mara moja kwa wiki siyo mbaya. Nyama ina madini ya "Zinc" ambayo nayo ni muhimu kwa afya yako ya "uzazi".
 
pole sana kaka! but u were born to be a father,Mungu wetu ni mwaminifu muombe nae atakupa kama alivotuahidi!kaka pia nakushauri uende katika hospital moja ya natural therapy ipo opposite na hinduMandal posta wanatibu mambo ya uzazi na hawana gharana kubwa za matibabu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…