Asante Nyani Ngabu, hata TZ specialist kama huyo anapatikana wapi, unaweza kuwa na idea?Wewe nenda ukapate ushauri wa urologist aliye-specialize kwenye male infertility.
Zipo njia za ku-extract sperm na kuzitumbukiza ndani mwa mkeo na mimba ikatungika.
::
Fuata yafuatayo
::
Angalia chakula anachokula,,chakula cha asili kama ngano,uwele,mtama,ufuta,mafuta ya alizeti maji mengi ya kunywa,n.k yanaweza kuimarisha nguvu ya sperm
::
Nenda kwa daktari mwenye taaluma husika atakusaidia.Na topic hii ukihamishia JF DOCTOR unaweza kupata msaada.
=
Jaribu products za foreverling, vile vile mwone Prof Mgaya huwa yuko good
Kunywa supu ya pweza kutwa mara sita ndani weka karanga mbichi tangawizi na asali kunywa Maziwa lita mbili kwa siku Maziwa mabichi yasiyochemshwa kula mayonaise kwny mlo wako epuka kula vyakula vyenye mafuta hades chipsi yai kula maparachichi manne kwa siku. Kula korosho kunywa vitamin c na vitamin e kutwa Mara Tatu kula mkate wenye siagi abstain kwa siku saba kuelekea ovulation hakikisha ni kuanzia siku ya 13 kunywa maji mengi NA maOezi
We, nani ale korodani za mbuzi? eti kula Korodani mbichi za jogoo na mtindi,kha, wacha nibaki na low sperm count zangu!kuna kitu inaitwa Artificial insemination.....bali ni very expensive, na sidhani kama Tz wanafanya.......kaka cha kukushauri, jaribu kutumia dawa za asili..but usiende kwa waganga wa kienyeji wala waganga wanaojitangaza wala kunywa madawa yao.....badilisha misosi, kula ile yenye protein za kutosha....pia jaribu kutofanya mapenzi na mkeo kwa muda wa siku kumi na nne...huku ukifanya yafuatayo:
1. kula chakula chenye wingi wa protein
2. kunywa supu ya korodani za mbuzi, pamoja na kumeza korodani za mbuzi...mara moja kwa siku kwa huo muda wa siku 14
3. kila baada ya siku tatu, ndani ya hizo siku 14 huku ukiendelea na hiyo dozi ya korodani za mbuzi, chukua korodani za jogoo wa kienyeji aliyekomaa, hakikisha wakati unayatoa hayajagusana na damu, meza na maziwa....ukipata kitu kinaitwa HABBAT SODA...unaweza kupaka mayai hayo, na ukanywa na maziwa.....
hizo korodani na mayai unayaweza pata machinjioni,au ukaagiza watu wakakutafutia, unaweka order kwa wauzaji nyama choma za mbuzi, na kuku wa kienyeji......em jaribu hiyo, kama utapenda, afterall, hautopoteza kitu, koz its very less expensive...then baada ya hizo siku 14, kutana na mkeo...ila itabidi hiyo siku mtakayokutana, iwe ni siku ambayo mkeo anaweza kushka mimba......ukifanikiwa, nitumie msg plz...........pole, watoto ni majaliwa........endelea kumuomba na Mungu wako pia.......Mungu wa wawakristo ni muaminifu......atakujibu tu, huwa hawai wala hachelewi..atakujib kwa wakati wake
Kha mbona umemchanganya. Sasa dawa hapo ni ipi???Kunywa supu ya pweza kutwa mara sita ndani weka karanga mbichi tangawizi na asali kunywa Maziwa lita mbili kwa siku Maziwa mabichi yasiyochemshwa kula mayonaise kwny mlo wako epuka kula vyakula vyenye mafuta hades chipsi yai kula maparachichi manne kwa siku. Kula korosho kunywa vitamin c na vitamin e kutwa Mara Tatu kula mkate wenye siagi abstain kwa siku saba kuelekea ovulation hakikisha ni kuanzia siku ya 13 kunywa maji mengi NA maOezi
Naomba ushauri kama kuna mwenye experience au amewahi kusikia options ambazo ni productive. Mimi na mke wangu tuna miaka 4 sasa ya ndoa ya kikristo bila mtoto. Tumefanya vipimo vyote vya afya ya uzazi imeonekana mimi nina low sperm count na mke wangu hana tatizo lolote. Tendo la ndoa tunafanya kama kawaida bila shida yoyote na ndoa haina migogoro yoyote pamoja na hali hiyo lakini tunapenda sana kupata mtoto. ushauri tafadhali kama kuna njia yoyote ya asili (natural) isiyoenda kinyume na imani ya Kikristo.
IVF inapatikana tanzania....ila success rate yake sijui.....pia ni probability ila inacost haswa kama $8,500 ingawa nasikia IVF nairobi ndo cheap
cc Riwa
Mgaya yule gyno? Huyu nadhani anatakiwa aone wa wanamme.
Ila hata Mgaya anaweza mpa mwangaza zaidi.
Initial Male Infertility Evaluation
A visit to a urologist should start the evaluation for male infertility. The urologist will likely begin with a basic interview and exam that includes:
Both partners should be evaluated preferably at the same time. Women often seek infertility evaluation before their partner and usually choose their obstetrician /gynecologist. A male needs his own doctor to render appropriate counseling, advice and therapy. For men, this usually means a urologist with an interest in male reproduction.