GE2025 Mkazi wa Mchinga: Tieni akili CCM hawana nia njema, Mbunge wenu Mama Salma anadharau ni akili gani kusema watu wa Mchinga wanamkubali

GE2025 Mkazi wa Mchinga: Tieni akili CCM hawana nia njema, Mbunge wenu Mama Salma anadharau ni akili gani kusema watu wa Mchinga wanamkubali

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mwamba inaelekea ana shule kichwani. Tatizo watu njaa.
 
Nimependa ujasiri wake ,lakini hivi kwani kunaulazima gani yule Mama hadi aendelee kuwa mbunge kule Mchinga? Au nayeye ana ndoto ?
 
Eti wanamkubali mchinga ni upuuzi mtupu hakuna anayemhitaji huyo mama ni sinema za msoga na genge lao kupitisha watu wao kinguvu bila kushindanishwa
 
Back
Top Bottom