Mkazi wa Maswa Akutwa na nyeti tano za wanawake

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,446
7,817
Salum Nkonja maarufu Emmanuel Nkonja, mkazi wa Maswa mkoani Simiyu, amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mkoani Dar es Salaam kujibu mashtaka 11 ikiwa ni pamoja na kukutwa na chuchu za binadamu, sehemu za siri tano za wanawake na mafuvu mawili ya kichwa cha binadamu.

Nkonja amefikishwa mahakamani hapo na kusomewa kesi ya uhujumu uchumi na wakili wa Serikali, Caroline Materu, mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Ramadhani Rugemalira.

Mshtakiwa anadaiwa kutenda makosa hayo kati ya Oktoba 30 mwaka 2017 na Novemba 30 mwaka 2017 katika eneo la Ubungo.

CHANZO: TBC
 
Kesi yake ni Uhujumu uchumi tena!

Waliosoma Sheria tunaomba ufafanuzi mimi sielewi kabisa
 
itakuwa kawahujumu wafanyabiashara wenziee hizo nyetiii kwa kuwa zauzwa bei ghalii

hadithi ya kufikirisha sanaa hiii ... waza ka nyeti zilikuwa zimekatwa kwa mfumo wa vibangili...jamaa alikuwa akivaa na kulala nazo ama kutembea nazo akidhani atapata mali sanaa
Kwanini kesi ya msingi isiwe mauaji?
 
Dar es Salaam. Mkazi wa Maswa, mkoani Simiyu, Salum Nkonja maarufu kama Emmanuel Nkonja, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu mashtaka 11 yakiwemo kukutwa na chuchu za binadamu, sehemu za siri tano za wanawake na mafuvu mawili ya kichwa cha binadamu.

Nkonja amefikishwa mahakamani hapo leo, Juni 21, 2022 na kusomewa kesi ya uhujumu uchumi namba 32/2022 na wakili wa Serikali, Caroline Materu, mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Ramadhani Rugemalira.

Mshtakiwa anadaiwa kutenda makosa yake, Kati ya Oktoba 30, 2017 na Novemba 30, 2017 katika eneo la Ubungo lililopo Manispaa ya Ubungo.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
kesi kuhujumu uchumi ! sio kwa hiyo hizo ni nyaraka za serikali au sio kesi ya mauaji !.ametoa wapi hivo viungo
 
Mimi naomba nielewshwe kwanza.
Hivi nyeti za mwanamke unazikataje?
Mwenye picha ikiwa imekatwa nitashukuru.
 
Back
Top Bottom