Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,027
- 9,912
Tito Augustino Kiliwa mwenye umri wa miaka 26, mkazi wa Kijiji cha Kibengu, anashikiliwa na Polisi kwa makosa ya mtandao.
Tito anatuhumiwa kuchapisha kwenye Mtandao wa Facebook taarifa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli anaumwa.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa Msikitini Njombe Machi 12 alisema kuwa Rais Magufuli yuko salama anaendelea na majukumu yake huku akiwataka watu kupuuza taarifa za uongo.