Mkazi Dar anaomba Msaada, Mke katekwa

Mkazi Dar anaomba Msaada, Mke katekwa

Duh pole mkuu, hii habari sio nzuri jamani
 
Dah! Poleni sana Mkuu. Nchi inatisha sana na bila shaka sasa hivi watakuwa wanateswa sana kwa mateso ya hali ya juu kama hawajauwawa na maiti zao kutupwa baharini.

Nasikitika sana kuwaambia ndugu zangu wote kwamba siku ya Jumanne tarehe 7 mwezi huu mwaka 2017 nilipotelewa na ndugu zangu wanne ambao ni Mke wangu Sayuni Nsoro, mdogo wangu Denis Rulangaranga, shemeji yangu Renatha Simon pamoja na kijana Sabinian Stefano (cousin)... Ndugu hawa walitekwa na watu wasiofahamika ambao walikuwa na gari aina ya Noah yenye rangi ya Silver (kwa maelezo ya mashuhuda)

Je Ilikuwaje?
Mnamo tarehe 07 mwezi huu (Novemba) 2017 majira ya kati ya saa nne na nusu usiku na saa tano nilimpigia mke wangu simu baada ya kutomkuta nyumbani.

Alipokea na kunijibu kwamba yupo na mdogo wangu wamesimama mara moja kwenye Pub yetu inayoitwa Seblen Pub lakini kuna watu wanaojiita maaskari ni kama wanataka kuwakamata.. nikamuuliza wanawakamata kwa kosa gani? Ndipo nikasikia sauti ya kiume ikimuuliza mke wangu kwa ukali kwamba nani kamruhusu kuongea na simu? Simu ikakatika na kuanzia hapo nikawa nikipiga haipokelewi..

Ilibidi niende haraka sana kwenye hiyo Pub ya Seblen alipokuwepo mke wangu wakati akinipigia simu ili nijue kuna tatizo gani.. ilinichukua takriban dakika 15 lakini nilipofika sikuwakuta.. Nikauliza vijana niliowakuta hapo mke wangu na mdogo wangu wako wapi? Nikaambiwa wamechukuliwa na Maaskari kwenye NOAH ya Silver... Pamoja nao wamechukuliwa ndugu zangu wengine wawili.

waliochukuliwa/waliotekwa ni kina nani ?

1. Sayuni Nsoro - Ambaye ni mke wangu.

2. Denis Rulangaranga -Ambaye ni mdogo wangu

3. Renatha Simon - Ambaye ni shemeji yangu wa kike (Ndiye msimamizi wa Seblen Pub)

4. Sabinian Stefano - Cousin wangu ambaye ni mpishi pale Seblen Pub

Baada ya hapo nilikimbia kwenda kituo cha polisi Kijitonyama (Mabatini). Nikijua kwa vyovyote watakuwa wamepelekwa hapo... Hata hivyo sikuwakuta. Nikashauriwa niende kuangalia Kituo cha Polisi Urafiki ambako pia sikuwakuta.. nikaenda vituo vingine kadhaa vya polisi usiku huo vikiwemo Oysterbay, Simu 2000 (kilikuwa kimefungwa saa sita hiyo), Chuo Kikuu UDSM, Mtambani, Garden, Mwinjuma, Magomeni, Ubungo Terminal kisha nikarudi tena Mabatini... baada ya mzunguko wote huo nilifika pale Mabatini majira ya saa kumi na mbili na nusu asubuhi nikiwa sijapumzika usiku kucha hadi muda huo.

Niliporudi Mabatini nikaandikisha taarifa ya ndugu zangu kutekwa na nikapewa RB namba KJN/RB/10786/2017.. Baada ya hapo nikashauriwa niende Oysterbay Polisi kwa Mkuu wa Upelelezi wa mkoa Kinondoni ambapo nilienda asubuhi hiyo hiyo

Oysterbay Polisi
Nilifanikiwa kumuona Mkuu wa Upelelezi wa mkoa ambaye alinipa ushirikiano mzuri sana! Alinipa maaskari watatu akiwemo mmoja wa mambo ya mitandao. Mapokezi yao yalinifariji sana kwani tulifanikiwa kuhoji mshuhuda wa tukio na pia tulifanikiwa kufuatilia simu zao ambazo zilikuwa bado zikiita hadi maeneo ya Mikocheni "karibu na nyumba za mawaziri" ambapo polisi wanaendelea na uchunguzi wa eneo hilo

Leo ni siku ya 5 toka tukio hilo la kusikitisha litokee lakini kama ndugu hatujatafutwa na hao watekaji kuombwa chochote na wala hatujapewa taarifa rasmi zozote za walipo ndugu zetu.

Hii imeleta sintofahamu ya hali ya juu katika familia na hivi ninavyoandika wanafamilia hawajafahamu kwa nini hawa vijana wametekwa na hakuna taarifa rasmi tulizonazo

ujumbe huu unataka nini?

1. Mtu yeyote mwenye taarifa za hao watu wanne tunamuomba afikishe taarifa hizo kwenye kituo chochote cha polisi.

2. Tunaiomba serikali iingilie kati na iwasaidie polisi ambao mpaka sasa wanafanya kazi nzuri katika kumaliza hili jambo.. pamoja na kazi nzuri ya polisi, sisi kama familia tunaisihi serikali iviruhusu vyombo vyake vingine vya usalama viisaidie polisi ili ndugu zetu warudishwe wakiwa hai na wakiwa salama.

3. Utekaji ule ni wa kinyama na tunomba serikali itusaidie ili kututoa hofu.!
 
Dah pole sana lakin pia mhimu watu wasikubali kupanda hizi gari bila kujua zinawapeleka wapi ugome kabisaaa ili kama mbaya iwe mbaya hadharani...noah zimegeuka kuwa janga kubwa
 
Pole sana, ifikie mahali hata jamii yetu ijitambue, haiwezekani watu wafike na kuwabeba watu wengine kwa kigezo kuwa wao ni askari, hii haitoshi kabisa, watu wazuie huu utekaji kwa nguvu zote, mtu anafika na kuwaswaga wengine eti ni askari na jamii nzima imetoa macho tu, kwa nini asije mchana akiwa anaonekana?
 
Aisee, poleni sana. Nchi hii imeshakuwa kama Ujerumani ya Gastepo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Dah! Poleni sana Mkuu. Nchi inatisha sana na bila shaka sasa hivi watakuwa wanateswa sana kwa mateso ya hali ya juu kama hawajauwawa na maiti zao kutupwa baharini.

Hii habari ipo humu jukwaani kwa muda mrefu kidogo.

Naona bado haijapatiwa ufumbuzi.

Inasikitisha sana aisee...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nasikitika sana kuwaambia ndugu zangu wote kwamba siku ya Jumanne tarehe 7 mwezi huu mwaka 2017 nilipotelewa na ndugu zangu wanne ambao ni Mke wangu Sayuni Nsoro, mdogo wangu Denis Rulangaranga, shemeji yangu Renatha Simon pamoja na kijana Sabinian Stefano (cousin)... Ndugu hawa walitekwa na watu wasiofahamika ambao walikuwa na gari aina ya Noah yenye rangi ya Silver (kwa maelezo ya mashuhuda)

Je Ilikuwaje?
Mnamo tarehe 07 mwezi huu (Novemba) 2017 majira ya kati ya saa nne na nusu usiku na saa tano nilimpigia mke wangu simu baada ya kutomkuta nyumbani.

Alipokea na kunijibu kwamba yupo na mdogo wangu wamesimama mara moja kwenye Pub yetu inayoitwa Seblen Pub lakini kuna watu wanaojiita maaskari ni kama wanataka kuwakamata.. nikamuuliza wanawakamata kwa kosa gani? Ndipo nikasikia sauti ya kiume ikimuuliza mke wangu kwa ukali kwamba nani kamruhusu kuongea na simu? Simu ikakatika na kuanzia hapo nikawa nikipiga haipokelewi..

Ilibidi niende haraka sana kwenye hiyo Pub ya Seblen alipokuwepo mke wangu wakati akinipigia simu ili nijue kuna tatizo gani.. ilinichukua takriban dakika 15 lakini nilipofika sikuwakuta.. Nikauliza vijana niliowakuta hapo mke wangu na mdogo wangu wako wapi? Nikaambiwa wamechukuliwa na Maaskari kwenye NOAH ya Silver... Pamoja nao wamechukuliwa ndugu zangu wengine wawili.

waliochukuliwa/waliotekwa ni kina nani ?

1. Sayuni Nsoro - Ambaye ni mke wangu.

2. Denis Rulangaranga -Ambaye ni mdogo wangu

3. Renatha Simon - Ambaye ni shemeji yangu wa kike (Ndiye msimamizi wa Seblen Pub)

4. Sabinian Stefano - Cousin wangu ambaye ni mpishi pale Seblen Pub

Baada ya hapo nilikimbia kwenda kituo cha polisi Kijitonyama (Mabatini). Nikijua kwa vyovyote watakuwa wamepelekwa hapo... Hata hivyo sikuwakuta. Nikashauriwa niende kuangalia Kituo cha Polisi Urafiki ambako pia sikuwakuta.. nikaenda vituo vingine kadhaa vya polisi usiku huo vikiwemo Oysterbay, Simu 2000 (kilikuwa kimefungwa saa sita hiyo), Chuo Kikuu UDSM, Mtambani, Garden, Mwinjuma, Magomeni, Ubungo Terminal kisha nikarudi tena Mabatini... baada ya mzunguko wote huo nilifika pale Mabatini majira ya saa kumi na mbili na nusu asubuhi nikiwa sijapumzika usiku kucha hadi muda huo.

Niliporudi Mabatini nikaandikisha taarifa ya ndugu zangu kutekwa na nikapewa RB namba KJN/RB/10786/2017.. Baada ya hapo nikashauriwa niende Oysterbay Polisi kwa Mkuu wa Upelelezi wa mkoa Kinondoni ambapo nilienda asubuhi hiyo hiyo

Oysterbay Polisi
Nilifanikiwa kumuona Mkuu wa Upelelezi wa mkoa ambaye alinipa ushirikiano mzuri sana! Alinipa maaskari watatu akiwemo mmoja wa mambo ya mitandao. Mapokezi yao yalinifariji sana kwani tulifanikiwa kuhoji mshuhuda wa tukio na pia tulifanikiwa kufuatilia simu zao ambazo zilikuwa bado zikiita hadi maeneo ya Mikocheni "karibu na nyumba za mawaziri" ambapo polisi wanaendelea na uchunguzi wa eneo hilo

Leo ni siku ya 5 toka tukio hilo la kusikitisha litokee lakini kama ndugu hatujatafutwa na hao watekaji kuombwa chochote na wala hatujapewa taarifa rasmi zozote za walipo ndugu zetu.

Hii imeleta sintofahamu ya hali ya juu katika familia na hivi ninavyoandika wanafamilia hawajafahamu kwa nini hawa vijana wametekwa na hakuna taarifa rasmi tulizonazo

ujumbe huu unataka nini?

1. Mtu yeyote mwenye taarifa za hao watu wanne tunamuomba afikishe taarifa hizo kwenye kituo chochote cha polisi.

2. Tunaiomba serikali iingilie kati na iwasaidie polisi ambao mpaka sasa wanafanya kazi nzuri katika kumaliza hili jambo.. pamoja na kazi nzuri ya polisi, sisi kama familia tunaisihi serikali iviruhusu vyombo vyake vingine vya usalama viisaidie polisi ili ndugu zetu warudishwe wakiwa hai na wakiwa salama.

3. Utekaji ule ni wa kinyama na tunomba serikali itusaidie ili kututoa hofu.!
Pole sana ndugu yangu. I know how it hurts. Je, unajihusisha na siasa? Je, unauadui Wa kibiashara na wenzako? Nakuombea Mungu akusaidie
 
mungu wangu na kuna maiti 5 zimeokotwa ufukwe wa ziwa victoria zikiwa na mawe mungu wangu tusaidie. na hili la familia moja kuna jamaa anawajua wote ndugu zake mpka sasa bado hawajapata hata mmoja
 
Tatizo ni pale ripoti ya utekaji inatekwa na mtekaji

Ila kutekana tekana ni ushamba

Pole kwa yaliowasibu
 
Nasikitika sana kuwaambia ndugu zangu wote kwamba siku ya Jumanne tarehe 7 mwezi huu mwaka 2017 nilipotelewa na ndugu zangu wanne ambao ni Mke wangu Sayuni Nsoro, mdogo wangu Denis Rulangaranga, shemeji yangu Renatha Simon pamoja na kijana Sabinian Stefano (cousin)... Ndugu hawa walitekwa na watu wasiofahamika ambao walikuwa na gari aina ya Noah yenye rangi ya Silver (kwa maelezo ya mashuhuda)

Je Ilikuwaje?
Mnamo tarehe 07 mwezi huu (Novemba) 2017 majira ya kati ya saa nne na nusu usiku na saa tano nilimpigia mke wangu simu baada ya kutomkuta nyumbani.

Alipokea na kunijibu kwamba yupo na mdogo wangu wamesimama mara moja kwenye Pub yetu inayoitwa Seblen Pub lakini kuna watu wanaojiita maaskari ni kama wanataka kuwakamata.. nikamuuliza wanawakamata kwa kosa gani? Ndipo nikasikia sauti ya kiume ikimuuliza mke wangu kwa ukali kwamba nani kamruhusu kuongea na simu? Simu ikakatika na kuanzia hapo nikawa nikipiga haipokelewi..

Ilibidi niende haraka sana kwenye hiyo Pub ya Seblen alipokuwepo mke wangu wakati akinipigia simu ili nijue kuna tatizo gani.. ilinichukua takriban dakika 15 lakini nilipofika sikuwakuta.. Nikauliza vijana niliowakuta hapo mke wangu na mdogo wangu wako wapi? Nikaambiwa wamechukuliwa na Maaskari kwenye NOAH ya Silver... Pamoja nao wamechukuliwa ndugu zangu wengine wawili.

waliochukuliwa/waliotekwa ni kina nani ?

1. Sayuni Nsoro - Ambaye ni mke wangu.

2. Denis Rulangaranga -Ambaye ni mdogo wangu

3. Renatha Simon - Ambaye ni shemeji yangu wa kike (Ndiye msimamizi wa Seblen Pub)

4. Sabinian Stefano - Cousin wangu ambaye ni mpishi pale Seblen Pub

Baada ya hapo nilikimbia kwenda kituo cha polisi Kijitonyama (Mabatini). Nikijua kwa vyovyote watakuwa wamepelekwa hapo... Hata hivyo sikuwakuta. Nikashauriwa niende kuangalia Kituo cha Polisi Urafiki ambako pia sikuwakuta.. nikaenda vituo vingine kadhaa vya polisi usiku huo vikiwemo Oysterbay, Simu 2000 (kilikuwa kimefungwa saa sita hiyo), Chuo Kikuu UDSM, Mtambani, Garden, Mwinjuma, Magomeni, Ubungo Terminal kisha nikarudi tena Mabatini... baada ya mzunguko wote huo nilifika pale Mabatini majira ya saa kumi na mbili na nusu asubuhi nikiwa sijapumzika usiku kucha hadi muda huo.

Niliporudi Mabatini nikaandikisha taarifa ya ndugu zangu kutekwa na nikapewa RB namba KJN/RB/10786/2017.. Baada ya hapo nikashauriwa niende Oysterbay Polisi kwa Mkuu wa Upelelezi wa mkoa Kinondoni ambapo nilienda asubuhi hiyo hiyo

Oysterbay Polisi
Nilifanikiwa kumuona Mkuu wa Upelelezi wa mkoa ambaye alinipa ushirikiano mzuri sana! Alinipa maaskari watatu akiwemo mmoja wa mambo ya mitandao. Mapokezi yao yalinifariji sana kwani tulifanikiwa kuhoji mshuhuda wa tukio na pia tulifanikiwa kufuatilia simu zao ambazo zilikuwa bado zikiita hadi maeneo ya Mikocheni "karibu na nyumba za mawaziri" ambapo polisi wanaendelea na uchunguzi wa eneo hilo

Leo ni siku ya 5 toka tukio hilo la kusikitisha litokee lakini kama ndugu hatujatafutwa na hao watekaji kuombwa chochote na wala hatujapewa taarifa rasmi zozote za walipo ndugu zetu.

Hii imeleta sintofahamu ya hali ya juu katika familia na hivi ninavyoandika wanafamilia hawajafahamu kwa nini hawa vijana wametekwa na hakuna taarifa rasmi tulizonazo

ujumbe huu unataka nini?

1. Mtu yeyote mwenye taarifa za hao watu wanne tunamuomba afikishe taarifa hizo kwenye kituo chochote cha polisi.

2. Tunaiomba serikali iingilie kati na iwasaidie polisi ambao mpaka sasa wanafanya kazi nzuri katika kumaliza hili jambo.. pamoja na kazi nzuri ya polisi, sisi kama familia tunaisihi serikali iviruhusu vyombo vyake vingine vya usalama viisaidie polisi ili ndugu zetu warudishwe wakiwa hai na wakiwa salama.

3. Utekaji ule ni wa kinyama na tunomba serikali itusaidie ili kututoa hofu.!
mkuu usisahau kupeleka taarifa hii kule kwa bidada jasiri Mange.
Mange ndiyo the most powerful and reliable info sharing hub nchi nzima kwa sasa.
 
Pamoja na juhudi zote hizo, mupe Mungu nafasi ya kukulindia ndugu zako. Tuiombee nchi yetu irudie njia yake ya amani. Pole sana
 
Pole ndugu Allah akujalie subra na uvumilivu ktk kipindi hiki kigumu kwako! Ila watu wasio julikana mbona wameongezeka ghafla?
 
Poleni sana mkuu,tuombe wapatikane salama bila madhara.Kila lenye mwanzo halikosi mwisho,tuwaombee mwisho mwema.
 
........"tulifanikiwa kufuatilia simu zao ambazo zilikuwa bado zikiita hadi maeneo ya Mikocheni "karibu na nyumba za mawaziri"

Roma nae alisema maneno kama ya Mikocheni. Tundu Lissu alishawahi kutaja kuna nyumba ya kutesa watu Mikocheni. Sasa hapo subiri tuone makirikiri ya Polisi!!!!
 
"Leo siku ya 5 toka hilo tukio litokee" duh kwanza polesana mkuu, nadhani imefika muda kama taifa kwa ujumla, serikali na uma wote kuyapa haya mambo uzito wa kutosha haiwezekani raia wanakua wanapotea kama hela za kubeti, ifike mahali vyombo vya habari vitumike vizuri kama daraja katika ufanikishaji wa kutoa taarifa za ndugu zetu waliopotezwa ikiwezekana kila wakati wa matangazo wanaanza na kumaliza kwa kupitisha picha (kwa TV) na majina kwa redio zote Tz wafanye kwa umoja wao nasio mpaka MTU maarufu apotezwe ndio media zionyeshe ushirikiano btw polesana ndugu ikiwezekana tupia picha za waliopotea mzee
 
Back
Top Bottom