ntikanushwq
Member
- Nov 8, 2017
- 38
- 10
pole xana mkuu
Wanashukuru Mungu,ndugu zao wamepatikana, aisee ilikua mbaya sana.Nasikitika sana kuwaambia ndugu zangu wote kwamba siku ya Jumanne tarehe 7 mwezi huu mwaka 2017 nilipotelewa na ndugu zangu wanne ambao ni Mke wangu Sayuni Nsoro, mdogo wangu Denis Rulangaranga, shemeji yangu Renatha Simon pamoja na kijana Sabinian Stefano (cousin)... Ndugu hawa walitekwa na watu wasiofahamika ambao walikuwa na gari aina ya Noah yenye rangi ya Silver (kwa maelezo ya mashuhuda)
Je Ilikuwaje?
Mnamo tarehe 07 mwezi huu (Novemba) 2017 majira ya kati ya saa nne na nusu usiku na saa tano nilimpigia mke wangu simu baada ya kutomkuta nyumbani.
Alipokea na kunijibu kwamba yupo na mdogo wangu wamesimama mara moja kwenye Pub yetu inayoitwa Seblen Pub lakini kuna watu wanaojiita maaskari ni kama wanataka kuwakamata.. nikamuuliza wanawakamata kwa kosa gani? Ndipo nikasikia sauti ya kiume ikimuuliza mke wangu kwa ukali kwamba nani kamruhusu kuongea na simu? Simu ikakatika na kuanzia hapo nikawa nikipiga haipokelewi..
Ilibidi niende haraka sana kwenye hiyo Pub ya Seblen alipokuwepo mke wangu wakati akinipigia simu ili nijue kuna tatizo gani.. ilinichukua takriban dakika 15 lakini nilipofika sikuwakuta.. Nikauliza vijana niliowakuta hapo mke wangu na mdogo wangu wako wapi? Nikaambiwa wamechukuliwa na Maaskari kwenye NOAH ya Silver... Pamoja nao wamechukuliwa ndugu zangu wengine wawili.
waliochukuliwa/waliotekwa ni kina nani ?
1. Sayuni Nsoro - Ambaye ni mke wangu.
2. Denis Rulangaranga -Ambaye ni mdogo wangu
3. Renatha Simon - Ambaye ni shemeji yangu wa kike (Ndiye msimamizi wa Seblen Pub)
4. Sabinian Stefano - Cousin wangu ambaye ni mpishi pale Seblen Pub
Baada ya hapo nilikimbia kwenda kituo cha polisi Kijitonyama (Mabatini). Nikijua kwa vyovyote watakuwa wamepelekwa hapo... Hata hivyo sikuwakuta. Nikashauriwa niende kuangalia Kituo cha Polisi Urafiki ambako pia sikuwakuta.. nikaenda vituo vingine kadhaa vya polisi usiku huo vikiwemo Oysterbay, Simu 2000 (kilikuwa kimefungwa saa sita hiyo), Chuo Kikuu UDSM, Mtambani, Garden, Mwinjuma, Magomeni, Ubungo Terminal kisha nikarudi tena Mabatini... baada ya mzunguko wote huo nilifika pale Mabatini majira ya saa kumi na mbili na nusu asubuhi nikiwa sijapumzika usiku kucha hadi muda huo.
Niliporudi Mabatini nikaandikisha taarifa ya ndugu zangu kutekwa na nikapewa RB namba KJN/RB/10786/2017.. Baada ya hapo nikashauriwa niende Oysterbay Polisi kwa Mkuu wa Upelelezi wa mkoa Kinondoni ambapo nilienda asubuhi hiyo hiyo
Oysterbay Polisi
Nilifanikiwa kumuona Mkuu wa Upelelezi wa mkoa ambaye alinipa ushirikiano mzuri sana! Alinipa maaskari watatu akiwemo mmoja wa mambo ya mitandao. Mapokezi yao yalinifariji sana kwani tulifanikiwa kuhoji mshuhuda wa tukio na pia tulifanikiwa kufuatilia simu zao ambazo zilikuwa bado zikiita hadi maeneo ya Mikocheni "karibu na nyumba za mawaziri" ambapo polisi wanaendelea na uchunguzi wa eneo hilo
Leo ni siku ya 5 toka tukio hilo la kusikitisha litokee lakini kama ndugu hatujatafutwa na hao watekaji kuombwa chochote na wala hatujapewa taarifa rasmi zozote za walipo ndugu zetu.
Hii imeleta sintofahamu ya hali ya juu katika familia na hivi ninavyoandika wanafamilia hawajafahamu kwa nini hawa vijana wametekwa na hakuna taarifa rasmi tulizonazo
ujumbe huu unataka nini?
1. Mtu yeyote mwenye taarifa za hao watu wanne tunamuomba afikishe taarifa hizo kwenye kituo chochote cha polisi.
2. Tunaiomba serikali iingilie kati na iwasaidie polisi ambao mpaka sasa wanafanya kazi nzuri katika kumaliza hili jambo.. pamoja na kazi nzuri ya polisi, sisi kama familia tunaisihi serikali iviruhusu vyombo vyake vingine vya usalama viisaidie polisi ili ndugu zetu warudishwe wakiwa hai na wakiwa salama.
3. Utekaji ule ni wa kinyama na tunomba serikali itusaidie ili kututoa hofu..
C&P from Deo Rulangaranga
kuna kitu naomba kuchangia japo hata mimi kilinitokea nikaja kugundua tatizo au mazingira yanayo tengenezwa katika jamii yetu.kwanza poleNasikitika sana kuwaambia ndugu zangu wote kwamba siku ya Jumanne tarehe 7 mwezi huu mwaka 2017 nilipotelewa na ndugu zangu wanne ambao ni Mke wangu Sayuni Nsoro, mdogo wangu Denis Rulangaranga, shemeji yangu Renatha Simon pamoja na kijana Sabinian Stefano (cousin)... Ndugu hawa walitekwa na watu wasiofahamika ambao walikuwa na gari aina ya Noah yenye rangi ya Silver (kwa maelezo ya mashuhuda)
Je Ilikuwaje?
Mnamo tarehe 07 mwezi huu (Novemba) 2017 majira ya kati ya saa nne na nusu usiku na saa tano nilimpigia mke wangu simu baada ya kutomkuta nyumbani.
Alipokea na kunijibu kwamba yupo na mdogo wangu wamesimama mara moja kwenye Pub yetu inayoitwa Seblen Pub lakini kuna watu wanaojiita maaskari ni kama wanataka kuwakamata.. nikamuuliza wanawakamata kwa kosa gani? Ndipo nikasikia sauti ya kiume ikimuuliza mke wangu kwa ukali kwamba nani kamruhusu kuongea na simu? Simu ikakatika na kuanzia hapo nikawa nikipiga haipokelewi..
Ilibidi niende haraka sana kwenye hiyo Pub ya Seblen alipokuwepo mke wangu wakati akinipigia simu ili nijue kuna tatizo gani.. ilinichukua takriban dakika 15 lakini nilipofika sikuwakuta.. Nikauliza vijana niliowakuta hapo mke wangu na mdogo wangu wako wapi? Nikaambiwa wamechukuliwa na Maaskari kwenye NOAH ya Silver... Pamoja nao wamechukuliwa ndugu zangu wengine wawili.
waliochukuliwa/waliotekwa ni kina nani ?
1. Sayuni Nsoro - Ambaye ni mke wangu.
2. Denis Rulangaranga -Ambaye ni mdogo wangu
3. Renatha Simon - Ambaye ni shemeji yangu wa kike (Ndiye msimamizi wa Seblen Pub)
4. Sabinian Stefano - Cousin wangu ambaye ni mpishi pale Seblen Pub
Baada ya hapo nilikimbia kwenda kituo cha polisi Kijitonyama (Mabatini). Nikijua kwa vyovyote watakuwa wamepelekwa hapo... Hata hivyo sikuwakuta. Nikashauriwa niende kuangalia Kituo cha Polisi Urafiki ambako pia sikuwakuta.. nikaenda vituo vingine kadhaa vya polisi usiku huo vikiwemo Oysterbay, Simu 2000 (kilikuwa kimefungwa saa sita hiyo), Chuo Kikuu UDSM, Mtambani, Garden, Mwinjuma, Magomeni, Ubungo Terminal kisha nikarudi tena Mabatini... baada ya mzunguko wote huo nilifika pale Mabatini majira ya saa kumi na mbili na nusu asubuhi nikiwa sijapumzika usiku kucha hadi muda huo.
Niliporudi Mabatini nikaandikisha taarifa ya ndugu zangu kutekwa na nikapewa RB namba KJN/RB/10786/2017.. Baada ya hapo nikashauriwa niende Oysterbay Polisi kwa Mkuu wa Upelelezi wa mkoa Kinondoni ambapo nilienda asubuhi hiyo hiyo
Oysterbay Polisi
Nilifanikiwa kumuona Mkuu wa Upelelezi wa mkoa ambaye alinipa ushirikiano mzuri sana! Alinipa maaskari watatu akiwemo mmoja wa mambo ya mitandao. Mapokezi yao yalinifariji sana kwani tulifanikiwa kuhoji mshuhuda wa tukio na pia tulifanikiwa kufuatilia simu zao ambazo zilikuwa bado zikiita hadi maeneo ya Mikocheni "karibu na nyumba za mawaziri" ambapo polisi wanaendelea na uchunguzi wa eneo hilo
Leo ni siku ya 5 toka tukio hilo la kusikitisha litokee lakini kama ndugu hatujatafutwa na hao watekaji kuombwa chochote na wala hatujapewa taarifa rasmi zozote za walipo ndugu zetu.
Hii imeleta sintofahamu ya hali ya juu katika familia na hivi ninavyoandika wanafamilia hawajafahamu kwa nini hawa vijana wametekwa na hakuna taarifa rasmi tulizonazo
ujumbe huu unataka nini?
1. Mtu yeyote mwenye taarifa za hao watu wanne tunamuomba afikishe taarifa hizo kwenye kituo chochote cha polisi.
2. Tunaiomba serikali iingilie kati na iwasaidie polisi ambao mpaka sasa wanafanya kazi nzuri katika kumaliza hili jambo.. pamoja na kazi nzuri ya polisi, sisi kama familia tunaisihi serikali iviruhusu vyombo vyake vingine vya usalama viisaidie polisi ili ndugu zetu warudishwe wakiwa hai na wakiwa salama.
3. Utekaji ule ni wa kinyama na tunomba serikali itusaidie ili kututoa hofu..
C&P from Deo Rulangaranga
Na wewe mkuu hulikubali kuhondoka naho ao jamaa? Watu wakikufuhata kizembezembe utakiwi kuwa mwepesi wa kukubalihana naho! Daaaa,, vijana wa siku hizi sijui mnafundishwaje Kiswahili huko shuleni? Pasipostahili "H" mnaweka "H" panapostahili mnaiondoa kaazi kweli kweli!!kuna kitu naomba kuchangia japo hata mimi kilinitokea nikaja kugundua tatizo au mazingira yanayo tengenezwa katika jamii yetu.kwanza pole
jinsi mimi ilivo nitokea:
walikuja watu ofisini kwangu walipo fika akaniomba simu yangu kwa kuwa sikuwa na mawazo ya hili wala lile nika mpa,hakaniambia tuna kuitaji nikauliza kuna nini utajua huko huko,hakaja wapili hakiwa na bunduki nikajua ni polisi,nilipo toka nao hawa kutaka hata simu yangu niwapigie kwa kuwa wameshika wao,tuka kuta tumepelekwa polisi kituo ostabey kilicho ni sahidia taarifa katika maeneo yale hili sambaa kwa kuwa nilikuwa na jina,nilichukuliwa asubuhi mida ya saa5 ,mpaka ndugu wanaangaika vituo vyote na wakati walikuja ostabey polisi wakaa mbiwa hayupo,na kuja mara ya pili baada ya watu kujua kufatilia sana.
tuachane nayo ni moja ya maisha lakini tatizo lipo wapi mpaka mtu au watu kuchukiliwa kwa mazingira ambayo baadae matukio kama haya.
mazingira tunayo chukuliwa kwanza inamejengwa na mifumo mibaya sijui tuseme kasoro ambazo sasa zimekuwa mazara,kutumia kivuli cha chombo cha ulinzi sana sana kwa kutumia kivuli cha jeshi letu la polisi.
watu wanavo kuja kukufata uja kwa njia hii ya kipolisi,kwa kuwa mfumo wetu mbaya tulio tengeneza au jitengenezea polisi haki kufata upaswi kumuuliza katika kazi yake,
mimi nimeona mara nyingi kuna sheria zinazo tulinda endapo chombo chochote cha ulinzi kinavo kufata na kumuuliza au kufata njia yoyote.
hichi ndicho kinacho sumbua kwa watu kutumia njii hii ya kivuli.
wanasema shida zisikie kwa mwenzako.Na wewe mkuu hulikubali kuhondoka naho ao jamaa? Watu wakikufuhata kizembezembe utakiwi kuwa mwepesi wa kukubalihana naho! Daaaa,, vijana wa siku hizi sijui mnafundishwaje Kiswahili huko shuleni? Pasipostahili "H" mnaweka "H" panapostahili mnaiondoa kaazi kweli kweli!!
Usipofafanua itaonekana ulikuwa nna nia ya kujenga chuki na hofu kkwenye jamii. Labda kama wametishwa wasisemeWanashukuru Mungu,ndugu zao wamepatikana, aisee ilikua mbaya sana.
ilikuaje mkuu tunaomba mrejeshoWanashukuru Mungu,ndugu zao wamepatikana, aisee ilikua mbaya sana.