Mrs Kharusy
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 1,244
- 672
Jamani samahanini picha zinagoma..
Ukitaka kupika kwenye jiko la mkaa, hakikisha moto ni kidogo mno na mikono ni misafi wakati wote.
Tenga maji ya chumvi kiasi na uweke pembeni.
Nyunyizia haya maji juu ya kikaango n uache yakauke kisha chota mchanganyiko kwa mkono na uutandaze.
Nyunyizia ufute kwa juu na ufunike kwa mfiniko kama wa saucepan vile.
Hauhitaji kugeuza upande wa pili.
Jamani samahanini picha zinagoma..
Jaan huu mtake wa sukari? Alafu unapika wote kwa pamoja trey
Dear huu sio km uliouongelea ww.
Huu ukishaupiga unauweka wote kwenye trey au sufuria. Unaacha unaumuka unabake kwenye kuka km cake
Ukishautoa kwa tray unaulaje unaukatakata?
Kwenye kuupiga shurti uuvalie suruali mi nna suruali special kwa kuupiga.
Hii njia mi naijua as sina oven
Kwenye kuupiga shurti uuvalie suruali mi nna suruali special kwa kuupiga.
Hii njia mi naijua as sina oven
Hahahhahha amu huishi vituko leo umekuja na mpyaa mie huwa napiga goti tu naupiga kisawa sawa ila nkikanda unga ndo lazma nivae tight nsije picha picha watu
lols, mi nilijua ile mingine.
hahahaahah.
Asante best.
Jazakallah.