mkate wa mahindi.

Hii bidhaa tulikuwa tunafungiwa shuleni ndugu yake anaitwa kifuge vyakula naviheshimu sana vimenikuza hivi
hapo lazima masomo yaende. kifuge ndiyo cha maharage na viazi?
 
lkn jamani si mnajua wengine hapa ni waroho sasa hizo picha zote hizo dah! ona sasa nishang'ata na yeboyebo yangu! kisa inafanana kha! haki za binadamu ingilieni kati hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…