Mkataba wa Umeme 600 MW Tayari

Hivi mbona hakuna mtu anayezungumzia kuunganisha gridi ya Tanzania na Zambia.Ili zamani wakati Nyerere hajafa ilikuwa katika mikakati ya serikali ya wakati huo kukabiliana na mgao.inaonekana alivyokufa tu watu wakaamua kupiga dili.Ndo haya tunayoyaona sasa
 
Sasa wewe Zomba toka 2007 ulipopost hii thread mpaka leo hii huo umeme wako wa 600MW uko wapi sasa?

Su unaona magwanda mnavyokurupuka! hii post ni ya 17th January 2011 10:06 PM .

Umechanganya madawa, mimi ni member kuanzia hiyo 2007 uliyoisema, wakati huo tukijulikana kama wana Jambo Forums. Upo hapo ulipo? Au ulikuwa unachakachuwa kama kawaida yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…