Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 127,927
- 244,502
Hii ni baada ya jana BARAZA LA MADIWANI wa Jiji la Dar es salaam kulijadili kwa masaa kwa zaidi ya masaa 6 na kuahidi kuanika ' madudu ' yake ndani ya siku mbili kuanzia leo .
Chanzo - nipashe.
MyTake , UKAWA mkiweka uzalendo mbele , uamuzi wenu ndio utakuwa wa mwisho , namba hazijawahi kudanganya .
Hakuna cha Mafuru ( individual ) , wala Mafuru ( Msajili wa hazina )
Chanzo - nipashe.
MyTake , UKAWA mkiweka uzalendo mbele , uamuzi wenu ndio utakuwa wa mwisho , namba hazijawahi kudanganya .
Hakuna cha Mafuru ( individual ) , wala Mafuru ( Msajili wa hazina )