Kazi ya kubwabwaja unaona ni kazi ndogo?Yaani huyu alitakiwa akae kimya kabisa maana ni kama analipwa bila kazi.
Kuna njia ya kulizungumza hili faragha na si kulileta ktk social media, jamaa ana mihemko na hafanyi kazi kiuweledi.Inajulikana duniani kote kuwa mkataba wa ajira ni makubaliano kati ya mwajiri na mwajiriwa.
Mkataba unaweza kuwa wa maandishi au pia wa maneno tu iwapo pande mbili zitaafikiana.
Manara anadanganya anaposema hakuwa na mkataba na Simba... Chochote alichoambiwa na akakubali kufanya kazi ndio mkataba wenyewe.
Manara anasema analipwa shilingi Laki saba kwa mwezi lakini hajasema ni marupurupu gani amekuwa akiyapata ambayo pengine hayana makato ya kodi.
Manara huyo ana elimu ya shule ya msingi na anasahau kuna watu wenye digrii walau moja wanalipwa chini ya kiasi hicho cha fedha.
Kwa kiwango cha elimu ya manara alistahili mshahara wa chini ya laki 3.
Kama ni kweli Manara anapata manyanyaso kama alivuodai basi Club inapaswa kuchukua hatua za haraka. Kwa upande wa pili, Manara ameonesha ninkiasi gani elimu inasaidia kwenye kufanya maamuzi sahihi. Manara angekuwa na walau degree moja asingeenda kuichafua club anayodai ameibrand huko insta.
Au pengine ameshaona wazi anaenda kutimuliwa hivyo anafanya kutumia defence mechanism tu ili waonekane wanamuonea.Hii issue naona kuna ujanja ujanja mwingi sana hapa kati, Manara anamlalamikia Barbara kupitia Kitenge Tv lakini hao Kitenge Tv hawakutaka kupoteza muda wao kumtafuta Barbara nae aseme ya upande wake.
Pamekuwepo na mahusiano kati ya Manara na GSM, na hata kwenye harusi yake inasemekana hao GSM walimpa mzigo wa kutosha, Manara awe makini asitumie mahusiano yake na GSM kuleta mvuragano Simba.
Kama aliona palikuwa na tatizo, alitakiwa kwenda kwa uongozi wa Simba akaeleze shida yake kule, sio anaita chombo cha habari tena cha shabiki wa kutupwa wa Yanga ndio anaanza kulalamika wakati huu tukiwa tunajiandaa na mchezo dhidi ya Yanga siku ya jumapili.
Kwa mtazamo wangu naona Manara anatumiwa na Yanga kuleta mvuragano Simba, atafeli upesi sana kwa huu uzandiki wake.
Una certificate unataka ulipwe kiasi gani? Serikali ni huo ni mshahara wa mhasibu mwenye degree kabla ya promotion. Aache mdomo akasome
Wala hakuna ubishi manara anaiuza simbaHii issue naona kuna ujanja ujanja mwingi sana hapa kati, Manara anamlalamikia Barbara kupitia Kitenge Tv lakini hao Kitenge Tv hawakutaka kupoteza muda wao kumtafuta Barbara nae aseme ya upande wake.
Pamekuwepo na mahusiano kati ya Manara na GSM, na hata kwenye harusi yake inasemekana hao GSM walimpa mzigo wa kutosha, Manara awe makini asitumie mahusiano yake na GSM kuleta mvuragano Simba.
Kama aliona palikuwa na tatizo, alitakiwa kwenda kwa uongozi wa Simba akaeleze shida yake kule, sio anaita chombo cha habari tena cha shabiki wa kutupwa wa Yanga ndio anaanza kulalamika wakati huu tukiwa tunajiandaa na mchezo dhidi ya Yanga siku ya jumapili.
Kwa mtazamo wangu naona Manara anatumiwa na Yanga kuleta mvuragano Simba, atafeli upesi sana kwa huu uzandiki wake, ningeushauri uongozi wa Simba, Mo in particular, umefika wakati wa kuachana na Manara atafutwe msemaji mwingine.