Mkataba Wa Ajira (Msaada Kwa Mwenye Ufahamu)

Mkataba Wa Ajira (Msaada Kwa Mwenye Ufahamu)

Mbishi 4 real

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
640
Reaction score
655
Habari zenu ndugu,

Ni takribani wiki tatu na kidogo zimepita tangu nilipoambiwa kwamba nimepita kwenye usahili na kuambiwa nipeleke vitu vinavyohitajika katika kampuni flani.Niliambiwa kwamba nitapigiwa simu ya kuitwa kazini lakini mpaka leo bado kimya.Nilijaribu kuwapigia simu na wameniambia kwamba wataniita mambo yakishakamilika,swali langu ni je kuna uwezekano wa hawa jamaa kuniita au nifanyeje.Naomba mwenye ufahamu wa mikataba ya ajira anisaidie kunifuta matongotongo hasa kwenye suala la kuchelewa kukamilika kwa mkataba.

Asante.
 
hujaeeleweka tatizo sasa mkataba hapo unahusiana vipi kwa wewe kutoitwa kazini?

kimsingi wao walitakiwa wakuite kazini na kujaza mkataba wa ajira hicho ndio kitu cha msingi
 
mkuu hyo ilikuwa fasihi simulizi ya verbal,cha maana ni fasihi andishi,,kwanzan kama ungekuwa umepata wangekupa letter for the offer of employment,then ufanye acceptance then baada ya apo mambo ya consideration/negotiation na legal relations/contract signing..otherwise apo utajiumiza akili fanya mengine...ama endelea pambana na maisha mengine yatakayo kuinua.
 
Back
Top Bottom