Bm_boy
JF-Expert Member
- Oct 21, 2013
- 547
- 348
Kumekua na matukio mengi yanayoashiria wanandoa wengi kuchokana. Ila moja ya jambo kubwa na ishara kubwa ni kuchepuka kwa wanadoa. Na hili limekua likitokea kwa wahusika wote wawili si mwanaume si mwanake.
Haiwezekani mtu akachepuka kama hajamchoka mwenzake. Nasema hivi kwanini hakuna kinachoshindikana kuvumiliana ktk ndoa. Sasa iweje leo ushindwe kuvumilia hadi uchepuke, hii ni ishara yakuchokana.
Kwanini nimeamua kusema mkataba katika ndoa utasaidia haya. Kuchepuka huku kumezidi kusababisha vifo vya watu kila kukicha. Lakini endapo serikali itaamua kuingiza sheria ya mkataba wa ndoa.
Hii itasaidia watu kuachana in peace and love huku ukiwepo utaratibu wakugawana kile walicho kivuna kwa pamoja. Matukio mengi ya vifo vya fumanizi yamezidi nipa maswali kwanii ufikie hatua ya kuitoa roho ya mwenzako kisa mapenzi tena binadamu anaesababisha yote hayo ni mmekutana kila mmoja akiwa na meno yake 32.
Kwa nini pasiwepo na mkataba katika haya mahusiano, tumekaa kwa muda flani tumeshindwana tusubiri mkataba uishe kila mtu achukue mda wake. Roho ya mtu inathamani kubwa kuliko haya mahusiano.
Roho yaa mtu ikitoka hairudi lakini kuyanza mahusiano ni kitu cha dakika. Ogopa kuitoa roho ya mtu kisa mahusiano.
NB: We mwanaume kama unachepuka na mke wa mtu ebu chepuka na mke wa mtu anaejielewa, mwenye uwezo wakucontrol mawasiliano yako na yy, jasiri na anayeweza kukutetea hata pale ishu inapo bumburuka.