Mkataa pema pabaya panahitaji

Mkataa pema pabaya panahitaji

Nipo kwenye wakati mgumu wa kuchagua mtu sahii wa kufanya naye maisha

Nina wanawake wawili ambao nina pendana nao na wote na wapenda ila kwa mujibu wa imani yangu ni lazima ni mchague mmoja tu

Mmoja ni msomi na ni mfanya biashara mdogo
Na pia ni muajiriwa kwenye campuny ndogo ya kuchapisha picha kwenye nguo na mengine
Tabia zake huyu
Ni mkali saana sio mtu wakukaa kimia pale ninapo mkosea
Na akiamua kitu harudi nyuma kwa ufupi ni mwepesi wa asira saana
Na sio mtu wa show off

Huyu wa pili ni msomi pia kwao kuna kidogo yaani nina maana wazee wake wana pesa sio muajiriwa wala hana biashara yeyote zaidi ya kumiliki biashara ya wazazi wake

Tabia zake huyu

Ni mpole saana
Hana kiburi
Ni mcheshi
Pia ni mwepesi wa asira ukimchanganya utasoma namba
Na ni mtu ambaye ana penda kutumia pesa nyingi kutengeneza mwili wake kwa ufupi ana penda urembo

Sasa ina nipa shida kuchagua mtu sahii wote na wapenda saana
Je kufuata na tabia zangu hizi
Una fikiri ni nani anaweza kuwa sahii kwangu kwa hawa wanawake wa wili?

Kwa ufupi mimi mchafu yaani sijui kujitengeneza kama vijana wa kisasa
Pia mimi sio msomi
Tatu mimi ni mcheshi saana sio mwepesi wa asira
Mwisho najua kutafuta pesa lakini sijui kuzitumia nina weza kupata pesa nisipo kuwa na mtu sahii wa kuniongoza zote nina weza kuzimaliza kwa vitu vya kijinga

Je una fikiri yupi ndo anaweza kunifaa?
Oyaa usipotezee muda chukua hicho chuma cha mjerumani No.1
 
Tupia picha tumalizie kazi.
Ficha hata sura zao tuone chura,nyonga,hipsi na Chuchu.
Any way kati ya hao wanawake wako kuna aliye bikra au uliyemtoa bikra?
Umesema hujasoma unapata wapi ujasiri wa kutaka kuoa msomi wa digrii na asikuendeshe hapo home kwenu?
 
Mchukue aliyekuja baada ya mwenzie, Ungempenda kweli huyo wa kwanza wa pili asingekuwa na nafasi 🥴
 
Namba moja mtakwenda sawa! Lakini ukiacha tabia kimaumbile nani anakuvutia zaidi? Na nani mtamu kumzidi mwenziwe? Hivyo navyo ni vitu muhimu pia kuviangalia.maana unaweza pata wenye vigezo vizuri lakini chumbani " wabaridi sio wamoto".
Hakuna mwenye sifa za mke hapo.
 
Kama hata wewe mwenyewe haujajua nani anafaa kuwa mkeo bado haupo tayari kuingia kwenye ndoa cha muhimu endelea kuchakata mbususu zao
 
Mbona wote wanatabia ya hasira hiyo ni 🚩🚩🚩. Ingawa kidogo huyo wa pili japo ikiwezekana piga chini tu
 
Back
Top Bottom