Gang Chomba
Platinum Member
- Feb 29, 2008
- 20,734
- 4,869
Haitakua rahisi kama mnavyofikiri,
Ule udongo waliochanganya Mwl. Nyerere na Mzee Karume una maana kubwa sana kwa hili Taifa.
Udongo aliuchanganya Nyerere pekeake, na ndio maana baada ya pale Karume akaenda waambia Wazanzibari kuwa ''MUUNGANO NI KAMA KOTI, LIKIKUBANA LIVUE''